Hombolo Kwetu

Hombolo Kwetu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hombolo Kwetu, Business service, Dodoma.

03/10/2021

Kumenoga Nyumbani

  wa mavazi na nguo za aina moja kila siku haimaanishi hauna thamani kwenye jamii yako.usikatishwe tamaa kwa maneno yao,...
21/11/2020

wa mavazi na nguo za aina moja kila siku haimaanishi hauna thamani kwenye jamii yako.usikatishwe tamaa kwa maneno yao,dharau,manyanyaso na masimango kwenye kile unacho kifanya kamwe usirud nyuma IMARA kwani ukomavu wako utapelekea wengi walio nyuma yako kukamilisha ndoto na malengo yao..

CHANYA MABADILIKO CHANYA KWENYE JAMII

  KWETUNyumbani patamu hakika sio kwa ubora ila kwa fursa na utengevu wa vingi vinavyo zunguka. asa Kwanin tujilaumu leo...
16/04/2020

KWETU
Nyumbani patamu hakika sio kwa ubora ila kwa fursa na utengevu wa vingi vinavyo zunguka. asa Kwanin tujilaumu leo kwakukosa vingi kwa Jirani angali ndani tunavyo vingi vyakutumia kujenga upya na thamani kubwa nyumba.Ebu jiulize kuwa nibora Kujikuna kwa mkono wako kadri uwezavo kulingana na upele wako hata ikiwa itachukua muda au Bora Kujinyenyekeza nakusemangwa kwa kutumia mkono wa jirani?
Twende pamoja kutizama fursa bila vikwazo

  unafikiria uwekezaji hebu utazame kilimo cha  kuwa kilimo chenye tija chakisasa nakubadili maisha yako.   kwa mazoea k...
08/04/2020

unafikiria uwekezaji hebu utazame kilimo cha kuwa kilimo chenye tija chakisasa nakubadili maisha yako.
kwa mazoea k**a ilivyokuwa miaka 10 iliyopita geuka nyuma itizame fursa upya nakunogesha mahari ya maisha yako ndani ya kilimo cha zabibu.

  uwekezaji wenye Tija na faida KUBWA isiyohitaji uende Shule ila kuweka Juhudi na ufatiliaji. Usibaki nyuma Anza leo
01/04/2020

uwekezaji wenye Tija na faida KUBWA isiyohitaji uende Shule ila kuweka Juhudi na ufatiliaji. Usibaki nyuma Anza leo

01/04/2020

Tuelewane wenzangu Muda mwingine bila Kuujal kiwango cha ELIMU ulichokuwa nacho baba ila.MZAZI Jukumu lako kuongeza Umakini na ufatiliaji kwa Kila hatua mwanao utabain vingi vizuri navibaya ili uongeze ufanisi kumboresha kufikia MALENGO.

  NYUMA ZEPAISA SHOP WAKALA ANAKUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA WADAU WA HOMBOLO KAZI KWENU FIKA UHUDUMIWE MAPEMA WANAPATIKANA BA...
04/08/2019

NYUMA ZEPAISA SHOP WAKALA ANAKUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA WADAU WA HOMBOLO KAZI KWENU FIKA UHUDUMIWE MAPEMA WANAPATIKANA BARABARA KUELEKEA CHUONI TAMISEM.. UHUDUMIWE MAPEMA USIBAKI NYUMA

 sana ndg,jamaa, na marafiq mliopo ndan na nje ya HOMBOLO ijal afya yako kwa UCHUMI bora wa Jamii yako..
25/07/2019

sana ndg,jamaa, na marafiq mliopo ndan na nje ya HOMBOLO ijal afya yako kwa UCHUMI bora wa Jamii yako..

 wakulima wambogamboga na matund TOWERagrovet_traders inasambaza sumu zakuulia wadudu washambuliao Mimea yako na Fungici...
17/07/2019

wakulima wambogamboga na matund TOWERagrovet_traders inasambaza sumu zakuulia wadudu washambuliao Mimea yako na Fungicide(Dawa za ukungu) zinapatikana.Bila kusahau wafugaji chanjo za kuku,dawa za minyoo,ushaur na matibabu vinatolewa .
KARIBUNI SANA KWA HUDUMA
Call;0764546468
0653015515

26/03/2019

"Siri ya mafanikio katika maisha ni kufikiri kile kinachowezekana, hata k**a ni kidogo na siyo kile Usichokuwa nacho au kisichowezeka kwako."

Nawatakia mchana Mwema.
positive
🌱🌱

25/03/2019

UMASIKINI NI UTAMADUNI

*Dalili* *za* *mtu* *mwenye* *utamaduni* *wa* *umasikini*

1. Hufikili Sana katika wakati uliopo
2.hawana maamuzi ya vitu vinavyo watokea
3.wanaamini Sana katika maamuzi ya kikundi na sio binafsi

*NOTE* Kuepukana na umasikini lazima kwanza ukatae utamaduni wa umasikini.

maamuzi Leo
positive
shambani

KM Agrover trader inakupatia pembejeo za Kilimo na mifugo inapokea oda za kuogesha na kuchanganya chakula cha mifugo ain...
22/03/2019

KM Agrover trader inakupatia pembejeo za Kilimo na mifugo inapokea oda za kuogesha na kuchanganya chakula cha mifugo aina zote tunatoa ushauri ktk mifugo na kilimo,,Tunapatikana Barabara Kuelekea hombolo bwawan A karib na Ofisi ya simba fundi pikipiki..Karibun sana
Call: 0784342391
0717078587 Kwa mawasiliano

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hombolo Kwetu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share