Swahili Marketing & Branding Agency

Swahili Marketing & Branding Agency Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Swahili Marketing & Branding Agency, Consulting Agency, Ilazo, Dodoma.

Digital Marketing & Branding Strategies for Corporates and SMEs Growth.
📊Social Media Management | Content Marketing | Funnels | Copywriting | Landing Pages.
📈 Graphic Designing & Office Documentation
Let's Conect📲0765113961

28/06/2026
Unazifahamu FAIDA za Google Business?...1. Biashara yako kuonekana google business bila kulipia matangazo. 2. Biashara y...
25/06/2026

Unazifahamu FAIDA za Google Business?...

1. Biashara yako kuonekana google business bila kulipia matangazo.

2. Biashara yako kuonekana kwenye google map, mteja akiingia google map anaweza kuona-
(a) Jina la piashara
(b) Picha za bidhaa au huduma zako
(c) Namba zako za simu
(d) Direction ya kumfikisha dukani
(e) Website au account zako za social media

3. Wateja wanaweza kuweka review zao kuhusu biashara na huduma zako na ukiwa na review nyingi nzuri inaongeza wateja zaidi ⭐⭐⭐⭐⭐

4. Hata k**a huna website kubwa, profile ya Google Business inaweza kuwa k**a "mini website" yako kwa 100%

5. SEO ya eneo (Local SEO)
Kwa kuwa uko Dodoma, unaweza kutawala searches k**a:
☆Viwanja dodoma
☆Mashuka dodoma
☆Mapazia dodoma nk.

6. Unaweza kupost k**a Instagram

Google Business inaruhusu:
Picha za nyumba
Picha za viwanja
Picha za magari
Offers
Updates
Na posts hizo zinaonekana kwenye Google Search.

7. Unaweza kuona data za wateja:
Watu wangapi wameona profile
Wamepiga simu mara ngapi
Wameomba directions mara ngapi
Wamebofya website mara ngapi
Hizi ni data muhimu zaidi kuliko likes.

8. Ushindani bado ni mdogo Tanzania
Wafanyabiashara wengi wa nyumba na magari wanategemea:
Facebook
Instagram
WhatsApp

Wachache sana wanatumia Google Business kwa usahihi.

Hii inakupa nafasi ya kutawala soko la eneo lako mapema.

Uzoefu wa masoko mtandaoni unaonyesha luwa:

☆Instagram huleta awareness

☆Google Business inaleta wateja wenye nia ya kununua.

Mtu anayetafuta vyombo dodoma ana 80% za kununua kuliko aliyeona tangazo la vyombo kwa bahati mbaya Instagram.

Ili upate wateja wengi tunakushauri utumie mfumo huu:

1. Instagram - Kujenga audience na brand

2. Google Business - Kupata wateja (Leads) wa moja kwa moja.

3. WhatsApp - Sehemu ya kufunga mauzo.

Tukikusajili kwenye Google Business Account leo na ukaanza kuweka picha za bidhaa na huduma zako kila wiki, ukianza tu kupata review za wateja, ndani ya miezi 3-6 utaanza kupata wateja wa moja kwa moja kutoka google.

Huduma hii imejaribiwa nankuketa matokeo kwa 100%

Wahi huduma hii iko kwenye OFA ya mwezi huu kwa punguzo la 49%

Call & WhatsApp
📲0786222651
📲0765113961
Tupange muda wa kukutembelea, kukushauri mambo muhimu kuhusu Digital Marketing (Jinsi ya kutumia masoko ya mtandaoni kujitangaza).
Na kisha tutakusajili kwenye google business.

25/06/2026

Unazifahamu FAIDA za Google Business?...

1. Biashara yako kuonekana google business bila kulipia matangazo.

2. Biashara yako kuonekana kwenye google map, mteja akiingia google map anaweza kuona-
(a) Jina la piashara
(b) Picha za bidhaa au huduma zako
(c) Namba zako za simu
(d) Direction ya kumfikisha dukani
(e) Website au account zako za social media

3. Wateja wanaweza kuweka review zao kuhusu biashara na huduma zako na ukiwa na review nyingi nzuri inaongeza wateja zaidi ⭐⭐⭐⭐⭐

4. Hata k**a huna website kubwa, profile ya Google Business inaweza kuwa k**a "mini website" yako kwa 100%

5. SEO ya eneo (Local SEO)
Kwa kuwa uko Dodoma, unaweza kutawala searches k**a:
☆Viwanja dodoma
☆Mashuka dodoma
☆Mapazia dodoma nk.

6. Unaweza kupost k**a Instagram

Google Business inaruhusu:
Picha za nyumba
Picha za viwanja
Picha za magari
Offers
Updates
Na posts hizo zinaonekana kwenye Google Search.

7. Unaweza kuona data za wateja:
Watu wangapi wameona profile
Wamepiga simu mara ngapi
Wameomba directions mara ngapi
Wamebofya website mara ngapi
Hizi ni data muhimu zaidi kuliko likes.

8. Ushindani bado ni mdogo Tanzania
Wafanyabiashara wengi wa nyumba na magari wanategemea:
Facebook
Instagram
WhatsApp

Wachache sana wanatumia Google Business kwa usahihi.

Hii inakupa nafasi ya kutawala soko la eneo lako mapema.

Uzoefu wa masoko mtandaoni unaonyesha luwa:

☆Instagram huleta awareness

☆Google Business inaleta wateja wenye nia ya kununua.

Mtu anayetafuta vyombo dodoma ana 80% za kununua kuliko aliyeona tangazo la vyombo kwa bahati mbaya Instagram.

Ili upate wateja wengi tunakushauri utumie mfumo huu:

1. Instagram - Kujenga audience na brand

2. Google Business - Kupata wateja (Leads) wa moja kwa moja.

3. WhatsApp - Sehemu ya kufunga mauzo.

Tukikusajili kwenye Google Business Account leo na ukaanza kuweka picha za bidhaa na huduma zako kila wiki, ukianza tu kupata review za wateja, ndani ya miezi 3-6 utaanza kupata wateja wa moja kwa moja kutoka google.

Huduma hii imejaribiwa nankuketa matokeo kwa 100%

Wahi huduma hii iko kwenye OFA ya mwezi huu kwa punguzo la 49%

Call & WhatsApp
📲0786222651
📲0765113961
Tupange muda wa kukutembelea, kukushauri mambo muhimu kuhusu Digital Marketing
(Jinsi ya kutumia masoko ya mtandaoni kujitangaza).
Na kisha tutakusajili kwenye google business.

24/06/2026

HUHITAJI KUHANGAIKA TENA KUZOLEA WATEJA MTANDAONI!...

​K**a mfanyabiashara, changamoto kubwa sio kuwa na bidhaa au huduma nzuri, bali ni jinsi ya kuifikisha kwa watu sahihi na kwa muonekano unaouza.

Ndio maana Swahili Marketing & Branding Agency tuko hapa kukuondolea huo mzigo! 💼

​Tumejikita zaidi kukupa suluhisho la uhakika kupitia huduma zetu hizi 3:

​1️⃣ Real Estate Content Marketing:
Je, una viwanja, nyumba, apartments, lodge, hotel au mashamba na unateseka kupata wateja? Tunatengeneza content (video, picha, na carousels) za kimkakati zinazovutia wawekezaji na wanunuzi halisi wa ardhi na majengo.

2️⃣ Digital Strategies Marketing for SMEs:
Biashara ndogo na za kati (SMEs) hazihitaji tu 'likes', zinahitaji mauzo!
Tunakutengenezea mikakati thabiti ya kidijitali inayolenga soko lako ili kuongeza kipato na kukupa faida.

3️⃣ Office Documentation:
Tunaweka mifumo na nyaraka zako za kiofisi katika muonekano thabiti na wa kitaalamu unaoleta heshima ya brand yako mbele ya wateja wakubwa.

​🚀 Acha kufanya biashara kwa kubahatisha.

Ruhusu wataalamu tukupe matokeo unayostahili!
​📞 Wasiliana nasi sasa hivi: 0765 113 961
📍 Tunapatikana Ilazo Extension, Dodoma na tunahudumia mikoa yote Tanzania!

1. Social Media Management & Faceless Content Creation​Wafanyabiashara wengi wana bidhaa nzuri lakini hawana muda au uju...
15/06/2026

1. Social Media Management & Faceless Content Creation

​Wafanyabiashara wengi wana bidhaa nzuri lakini hawana muda au ujuzi wa kutengeneza content zenye mvuto.

​Unachofanya: Unasimamia kurasa zao (Instagram, TikTok, WhatsApp Business) na kuwatengenezea Content Calendars za mwezi mzima.

​Msisitizo wa Kijanja: Toa huduma ya Faceless Marketing (k**a vile video za sauti/voice-overs, picha za kuvutia, na elimu kupitia carousels). Hii inafaa sana kwa wafanyabiashara wasiotaka kuonyesha sura zao lakini wanataka kurasa zao ziuzi.

​2. Strategic Branding & Identity Design

​Biashara isiyo na muonekano thabiti wa kipekee inapoteza wateja wanaolipa bei kubwa (premium clients). Huduma hii inawatoa kutoka kuwa "wauzaji wa kawaida" na kuwa "Brand Inayoaminika".

​Unachofanya: Kutengeneza Nembo (Logos), kuchagua rangi maalum za biashara (Brand Colors) zinazoleta saikolojia ya kuvuta wateja, na kutengeneza mifumo ya mabango ya kidijitali (Templates za Post/Posters) ili kurasa zao ziwe na muonekano wa sare na wa kitaalamu.

​3. Lead Generation & Sales Funnels Setup

​Wateja hawataki tu 'Likes' au 'Followers', wanataka watu wanaoulizia bei na kununua.

​Unachofanya: Unatengeneza mfumo thabiti wa kunasa wateja (Funnels). Hii inajumuisha kuwasaidia kutengeneza zawadi za bure za kuvutia wateja (Lead Magnets) na kuweka mifumo rahisi ya WhatsApp Automation au mifumo ya automated messages ili mteja akibonyeza link, anajibiwa haraka na kuongozwa hadi kununua.

​4. Copywriting & Content Marketing (Ad Copies & Scripts)

​Picha nzuri bila maneno yanayouza (Copywriting) ni kazi bure. Wafanyabiashara wengi wanateseka kuandika ujumbe unaogusa hisia za mnunuzi.

​Unachofanya: Unawaandikia maelezo ya bidhaa (Ad Copies) kwa ajili ya kupost, script za video fupi za mauzo, na ujumbe wa kisaikolojia unaomfanya mteja aone "nisiponunua bidhaa hii leo, napoteza fursa kubwa."

​5. Paid Advertising (Meta Ads & Local SEO)

​Ufikiaji wa kawaida (Organic reach) umeshuka sana kwenye mitandao. Ili biashara ikue haraka, inahitaji matangazo ya kulipia.

​Unachofanya: Unatengeneza na kusimamia matangazo ya kulipia ya Instagram na Facebook (Meta Ads) yanayolenga watu sahihi wa eneo husika (Targeted Audience)

01/06/2026

Wateja wako sio wale tu wanaokufahamu au kujua ofisi yako ilipo.

Unaweza kuwafikia mamilioni ya watumiaji wa mitandao wasiokujua wala kukufahamu kwa kuwasidia kujua yafuatayo:

1. Huduma na bidhaa zako unazouza.

2. Namba zako za simu (Mawasiliano)

3. Kuonekana kwenye search engines zote (SEO) ikiwemo BOLT, UBER nk.

4. Mitandao ya kijamii unayotumia kibiashara.

5. Direction ya kufika mpaka ofisini kwako bila kuelekezwa na mtu.

Haya yote yatafanyika kiautomatiki bila ya wewe kulazimika kushika simu yako hata ukiwa usingizini.

Usishangae!

Tutakutengenezea account yako ya Google Business mara moja tu na itafanya kazi zote hizo milele.

Unataka kujua hili linawezekanaje?

Ngoja kwanza.

Unajua kwa nini nakwambia ungoje kwanza?

Gharama za kufanya yote haya ni ndogo mara 10 au mara 100 zaidi ya unavyofikiria.

Huwezi kuamini, tupigie sasa hivi 0765113 961

Umemaliza Mwezi Uliopita Bila Kupata Matokeo Uliyotarajia Kwenye Biashara Yako?...Acha Nikuambie Ukweli Mchungu.Leo ndio...
01/06/2026

Umemaliza Mwezi Uliopita Bila Kupata Matokeo Uliyotarajia Kwenye Biashara Yako?...

Acha Nikuambie Ukweli Mchungu.

Leo ndio kwanza tarehe 1 ya mwezi 6/ 2026 bila shaka umepiga hesabu za kufunga mwezi na unaona kabisa hakuna ukuaji wala ongezeko la mauzo.

Mwezi umeisha bila kupata hata mteja mmoja mkubwa wa kufunga deal moja ya kueleweka.

Unajiuliza au kwa sababu sipost kila siku, lakini mbona napost mara nyingi, tena picha za bidhaa zangu ni nzuri sana tena ni HD?

Mbona bidhaa zangu ni nzuri na huduma zetu ni nzuri pia?

Au tatizo ni bei, lakini mbona mimi nauza kwa bei ya chini kidogo na kuna wenzangu wanauza bei kubwa kuliko mimi?

Jibu ni jepesi sana lakini linaumiza:

Kuna wateja wengi sana wa bidhaa na huduma zako hawajui k**a upo, na wale wachache wanaoyaona matangazo ya biashara yako bado hawajakuamini.

Kwenye soko la sasa hivi, mteja hanunui kwa sababu tu una bei nafuu.

Mteja ananunua kwa sababu matangazo ya bidhaa au huduma yako yana muonekano wenye mamlaka (Authority), yanajenga uaminifu (Trust) na yanaelezea kwa uwazi changamoto za wateja na namna unavyozitatua (Solutions) ndani ya sekunde za 6 tu, baada ya kufungua ukurasa wako Instagram au Facebook.

Tatizo lako ni hili:

K**a page zako zimejaa picha na video kavu na hakuna sales copy inayoelezea kwa kina jinsi bidhaa/huduma zako zinavyofanya kazi na faida watakazopata baada ya kununua bidhaa/huduma zako.

K**a page za biashara hazina muonekano wa kitaalamu k**a brand, kampuni au biashara kubwa.
Yaani hauna Logo (Nembo) au k**a ipo inaonekana k**a imetengenezwa na mwanafunzi wa shule ya msingi.

K**a hakuna elimu yoyote wanayoipata wateja au followers wako kwenye page zako kuhusu changamoto zao na namna ya kukabiliana nazo.

Utakuwa unawafukuza wateja wengi sana na kukaribisha wapita njia wanaoulizia bei na kuondoka bila ya kuja inbox, ku-like wala kufollow.

Swali letu ni:

Je kuna makakati wowote mpya wa kuongeza mauzo umeutayarisha au umetayarishwa kwa ajili ya biashara yako mwezi huu?

Au unaenda kurudia makosa yale yale yaliyokunyima wateja wapya na mauzo kuanzia mwezi wa kwanza mpaka leo?

Sisi Swahili Marketing & Branding Agency hatuuzi "mabango" wala posters kali.

Tunatengeneza Mifumo ya Mauzo ndani na nje ya mtandao ( Sales Systems ) na Muonekano unaomfanya mteja akuheshimu na akulipe unachostahili bila kubishania bei.

Ndani ya Mwezi huu Mpya tunatoa OFA MAALUMU kwa wafanyabiashara, kampuni na brands mbalimbali 5 tu kwa Dodoma na 15 kutoka mikoa mingine ya Tanzania.

Huduma zifuatazo ziko kwenye kifurushi (Package) cha OFA cha mwezi huu.

✅️Kuchanganua hali halisi ya bishara yako na kuandaa mkakati wa kupunguza mianya ya upotevu wa PESA.

✅️Kuandaa mkakati wa mauzo na masoko
( Sales and Marketing Strategy )

✅️Kukutengenezea Logo nzuri ya kitalaamu kwa ajili ya biashara au kampuni yako.

✅️Kukuandalia Posters 10 za kupost kimkakati pamoja na Copywriting zinazouza k**a hii unayoisoma sasa hivi.

✅️Kukutengenezea Mabango makubwa ya biashara yako k**a Banners au Alcobondy.

✅️Kukuelekeza namna ya kuandaa mwongozo wa kupost kwa mwezi mzima
(Content Calendar) za kupost ili kuongeza engagement na wateja kwenye page zenu.

✅️Kukuandalia Documents zote muhimu za kibiasha au ofisi yako k**a-
Company Profile, Invoices, Quotation book, Delivery Note nk.
(Full Office Documentation)

✅️Kufanya Social media optimization na kusimamia kurasa zenu za mtandaoni ( Social Media Management)
K**a hazipo tutakutengenezea za kitaalamu sana kuendana na biashara yako.

🎯Nb-
Uwezo wa kubadilisha hali na muonekano wa biashara yako vyote vipo mikononi mwako.

Ni ama uchukue hatua leo au upunguze kulalamika kuwa biashara ni ngumu.

Kumbuka:

Nafasi za Dodoma ni kwa Wafanyabiashara 5 tu.

Na Wafanyabiashara 15 kutoka mikoa mingine ya Tanzania.

Wasiliana nasi:
Call & WhatsApp +255765113961
+255786222651

🎯Note:
Tukifanya kazi na wewe na ukatekeleza kila kitu tulichokuelekeza halafu usipate matokeo ndani ya miezi 6, tutakurudishia PESA yako bila maswali yoyote.

K**a unakazi ya Marketing  au Branding inayohita Graphics Designing na printing 🖨 ...Wasiliana nasi 0765113961
09/04/2026

K**a unakazi ya Marketing au Branding inayohita Graphics Designing na printing 🖨 ...

Wasiliana nasi 0765113961

Address

Ilazo
Dodoma
163

Opening Hours

Monday 07:45 - 19:00
Tuesday 07:45 - 19:00
Wednesday 07:45 - 19:00
Thursday 07:45 - 19:00
Friday 07:45 - 19:00
Saturday 02:00 - 17:00
Sunday 10:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Marketing & Branding Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share