03/10/2016
STORY💓MY HEART
mtunzi💓frank bazili
SEHEMU💓_1⃣6⃣
Wazamini💕my heart
💗lisa lisa(ritha)
💗sabrina tety
Mtunzi wa story💔
☎ 0764 924 562
[email protected]
group: LOVE💃🏻🏃🏻ZONE
👮🏻👴🏻👨🏿👧🏻👦🏻👦🏽👩🏻🕵
Sorry kwa kuchelewa ila muda sAA MOJA NA NUSU
JTATU* MY HEART
Almis *MJI WA WAFU
JMOS* my heary
My heart_💔.1⃣6⃣
Tulipo ishia jmos..
Mzee ombeni amgundua john ni jastine mtoto wa marehemu madam gres lkn alipo mgundua ajatangaza zaidi ya kumwambia na jastine muamua kubadili plan ili kurudisha mali zao na kumpata mdogo wake .....tuendelee
LEO >>
Walipo kutana siku inayo fata team mzima ya jastine ilikuwa tayri kwa kumpokea mgeni uyo na muda ulipo wadia majira ya sa nne mr ombeni alifika ndani ya kampuni ya jastine inayo fanya kazi k**a branch ya kampuni ya SIMBA (J ) INVES LTD
lkn kampuni iyo ni kivuli tu aipo ila ni njia ya kumkabili frank na mr lamek.
Mr omben alipo ingia Aliwapongeza kwa ubunifu wao
👨🏿 mko vizuri sana hata mimi ningeingis ningejua hi ni kampuni kweli nimecheki kwenye mtandao ipo na makao yake makuu yapo marekani 😂😂 kweli dr justine uko vizuri
👦🏻asante mzee ila sasa naisi nime feli kila kitu niambie nifanyaje
👨🏿kwanza tambua kukata tamaa ni kosa na pili tambua umepiga atua ila kabla sijakuoa njia nipe akili yako ikoje
👦🏻akili yangu inawaza kuzibiti uchumi wa kampuni ys the flay pande zote mbili ujezi na vinywaji
👨🏿 unaakili k**a ulisomaga story ya bint chui utakuwa una mjua suzy bint alie badilika kuwa mtu na mara chui lkn utakumbuka pake bibi yake alipo taka kuzuru dunia kutoka kuzimu na kuja duniani suzy alivaa ubinadamu na kutetea rafk zake
👦🏻ndio nilisoma imeandikwana frank bazili , lkn sijaelewa unacho maanish
👨🏿nacho maanisha na wewe utoe utu uvaa unyama yani twende kinyume mwa story hiyo ili kumpata frank kwanza ni nyinyi kujigawa muwe na kampuni mbili moja ya vinywaji na nyingine ya ujezi
😳😳😳😳😳😳
Walish*tuka na kushangaa lkn akaendelea kusema
👨🏿na atuna muda kampuni izo ziwe na majin tofauti lkn mkumbuke lzm ziwe kampuni za kweli nacho sema nakijua na naweza kukifanyia kazi mimi siwezi mwenyewe ila kupitia nyinyi na justine tutafanikiwa maana mzee lameki ana tamaa sana na pia an nguvu sana siwambii kwann nataka ivo ila mtajua
Alimaliza kusema na muda huo huo justine aligawa majukumu ambayo hakuna alie amini
👦🏻sasa tumeekewana mazani kinacho takiwa ni kazi tunacho aza nacho sasa ni hichi
Helen utakuwa mgurugezi kampuni ya joyce civili ltd
Na kampuni hii saa itakuwa chini ya iginasi ila tutafunga mitambo na kuzalisha vinywaji mimi nitaaridu hapo nilip ili nifukuzwe nikifukuzwa nitakuja kampuni moja wapo hapo ili kutia nguvu tutajigawa sote
👩🏾 ivi justeni unasema tu ivo ufikirii kupata nyezo za kazi ufikirii eneo na ...
👦🏻nikwamba nishapanga na kesho ofs zitakuwa tayari ils tambueni sote atuta mtaja mr ombeni kokote ila yeye atatusaidia kitu nacho kitaka kwake ni vinywaji visivyo kuwa na leno ivo ndani ya kampuni iyo iyo sisi tutazalisha vinywaji vetu na kupitia mimi nitamweka keshia mkuu kijanja bila wao kukua kuwa ni wetu naye sio mungine ni mudy na kila kitu kisha kamilika ivyo .pesa nyingi tutabushi kiakili.na kuzitumia uku
👱🏻boss nado kuusu kampuni ya ujezi iyo ulio ipa jina la joyce tusikutupuke tupange iyo ya vinywaji imesha pita
👨🏿 lisikupe shida kila kitu ni pesa mimi nitaongea na mr lio ni mchina ana kampuni kubwa sana ya ujezi iko uganda na kwa kuwa nchi zetu ni marafiki na jumuia yetu inaruhusu kufanya biashara bila kuvunja sheri tutamisha vifa uku na iwe branch tz lkn itumie jina ilo na naomba tumtafyte joyce kwa nguvu zetu zote mpka apatikane na aje kusimamia hii kampuni nitawaambis lengo langu
👦🏻jamani mwanzo ni mgumu naomba tukapumzike ila mimi heleni ,iginas na mr ombeni tutabaki hapa
Joto la wtu wengine liliondoka na wakabaki wtu wanne
Uku kwa frank bado hali ilikuwa ngumu na mr lameki
👴🏻😂😂usiongee sana hayo ya jana saivi tupige kazi kijana
👦🏾mzee unajua mimi sijapenda ulicho fanya jana huyu john unamuaminije ona leo ajsingia nimeanda ofsn kwake mara mbili ayupo
👴🏻ooh aliniambia nimpe siku tano atakuwa amerudi yuko nje ya nchi kuweka mambo yake sawa
👦🏾kwaiyo unafikiri wewe ni mkuu wa kutoa ruhusa tu
👴🏻👴🏻naona uko nje ya uwezo wako wa kufikiri umesahau idara ya ujezi ns usafiri mimi ndo mkuu wao baada juma kustaafu
👦🏾mmmh sawa ok niliongea na dayana kuna kijana anaitwa mudy ni msomi na anafanya kaz bank moja kubwa nchini dubai inabidi tumuajiri hapa
👴🏻wao wao naona maamuzi ya kampuni yanapangiwa nyumbani ok muajiri mtumi barua pepe aache kazi uku aje tumpe nyumba na usfiri kisha tumuajiri hapa kweku
Alisema ivo uku anaondoka lkn mr frank alisha mpa kazi kijana wake amfatilie ivo alisha tegesha kamera yenye uwezo wa kunasa sauti na video ktk ofs ya mr lameki kisiri wakat anatoka ofsn kwa frank ,frank alimwangalia kijana wake naye akamjibu kwa macho
Kuwa kashamaliza kazi
Uku kwa dayana naye alikuwa na dina nyumbani kwake
🏡
👧🏻kwaiyo unafanyaje sasa
👩🏻kwanza nimemsaidia kumpitisha kijana wake ambaye ni rafk yake anaitea mudy ivo nitamtumia uyo uyo ila sasa nataka leo usiku niende nyumbani kwake
👧🏻😳we dayana unajua umeolewa sasa nz una mtoto na una uwakika ata k**a umems**ia mr ombeni lkn uyo sio justine wako na ujue frank anakupenda sana na anaela siuachane naye
👩🏻hapana moyo wangu uko kwa justeni hata unipe nini yule ndiye wangu akufa na nitajua kilicho tokea mpka wa,....
📲
Simu yake iliita na yeye akakata maongezii alipo itazama ni namba ya mtu alie mpa kazi ya kumtafuta joyc aliipokea na kisha kukata na kumwambia diana
👩🏻joyce ameoatikana yuko mexco
👧🏻😳
ITAENDEKA JMOSI
JE nini kitaendelea joyce kashapatikana je justn akijua atafanyaje vipi kusu mpasuko wa ndano ya kampuni ya flay utakuwaje na pezi la dayana na justine litarudi uku helen alie karibu na justn akiwa anajua mumewe mtarajiwa ni justn,. usikose sehemu ya 17