Boya Flanii

Boya Flanii �����
pata burudani zote hapa. Taarifa za kimichezo. Ulimwengu wa burudani..

08/03/2025

Sikiliza Flow sasa,🎤
Anaekosoa achana nae,🎵

🇹🇿🌍

🚨 OFFICIAL DRAW YA ROBO CAF CONFEDERATION CUP 🏟Stellenbosch 🇿🇦 ⚔️ Zamalek SC 🇪🇬 🏟 ASEC Mimosas 🇨🇮  ⚔️ RS Berkane 🇲🇦 🏟 CS...
20/02/2025

🚨 OFFICIAL DRAW YA ROBO CAF CONFEDERATION CUP

🏟Stellenbosch 🇿🇦 ⚔️ Zamalek SC 🇪🇬

🏟 ASEC Mimosas 🇨🇮 ⚔️ RS Berkane 🇲🇦

🏟 CS Constantine 🇩🇿 ⚔️ USMA

🏟 Al Masry 🇪🇬 ⚔️ Simba Sports Club 🇹🇿

🚨 Anthony Taylor amechaguliwa kuwa mwamuzi wa mchezo wa Jumapili kati ya Manchester City dhdi ya Liverpool kwenye Ligi k...
18/02/2025

🚨 Anthony Taylor amechaguliwa kuwa mwamuzi wa mchezo wa Jumapili kati ya Manchester City dhdi ya Liverpool kwenye Ligi kuu ya England Premier League

Source Fabrizio Romano

✍️ Kona ya watu Wabadi Leo tupo na magwiji wote wanaotumia Jezi NAMBA 10 mgongoni na kiuchezaji.. Babaa ukiona mtu kavaa...
18/02/2025

✍️ Kona ya watu Wabadi
Leo tupo na magwiji wote wanaotumia Jezi NAMBA 10 mgongoni na kiuchezaji..

Babaa ukiona mtu kavaa hiyo jezi kwanza tambua anajua mpira vizuri hasa katika kushambulia na kutengeneza nafasi, hii ndio jezi ngumu na nzito..

Magwiji wote unaowafahamu asilimia kubwa waliitumikia jezi 10 na kiongozi wao ni Pele, Maradona,dinho, Messi,na wengine wengi..

Maajabu ya hii jezi ni kuwa ukiivaa alafu usiujue mpira utachekwa na watakupa mifano ya wachezaji manguli
Utasikia hajui mpira afu unavaa namba 10 ni tofauti na jezi zingine zote duniani..

Mchambuzi wako Boya Flanii

18/02/2025

Baridi ndio nyumbani.
Karibu Iringa nyumbani.

🇹🇿🌍

Address

Ilula

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boya Flanii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share