11/11/2025
✍️UTATUAMBIA NINI TUKUELEWE??
Alishafariki tena ni miaka zaidi ya kumi sasa, aliimba mziki ambao duniani uhuru wa Midia na mitandao ya kijamii ulikua ni mdogo sana..
Ila utapozungumza kuhusu kicheza kwa staili ya kusheki au kuanguka kwa kunesa kila mwanadamu atakwambia ayupo k**a Wako jako kwanini?
Mtoto wa miaka ata 10 ambae kazaliwa tayali jako alishakufa anajua vizuri sana history ya ngoma k**a Don't stop till get Enough, Earth song, Thriller,
Hizi ni ngoma bora kutoka kwake uyu
Je huenda uyu ndiye mwanadamu Ambae ni Maarufu kuliko wanadamu Wote duniani au?
✍️ UTATUAMBIA NINI TUKUELEWE??