11/02/2026
Asante sana Sable Hills Farm kwa kutuamini na kuchagua kufanya kazi nasi.
2025 umekuwa mwaka mzuri sana kiutendaji licha ya changamoto za hapa na pale.
2026 tumejipanga vizuri, tumedhamilia kuondoa changamoto zote zilizojitokeza mwaka jana.
Karibuni sana.