kamba_nga

kamba_nga Fundi pikipiki na bajaji na generator na water pump guta na mashine

05/05/2026
My dadas
15/11/2024

My dadas

Mama yetu  umeiona ile ajali ya loli la mafuta kibaha watu awajali kufa watoka majumbani wanakimbilia mafuta ambayo yana...
15/04/2024

Mama yetu umeiona ile ajali ya loli la mafuta kibaha watu awajali kufa watoka majumbani wanakimbilia mafuta ambayo yanaweza sababisha kifo lakini awajali,Mama we ni raisi msikivu mthubutu mimi nakuangalia tofauti wanavyokuona wengine nilitoa pongezi kwako kabla hata ujamaliza mwaka madalakani niliona moyo wako sasa nakushauri jambo hili mama hii nchi inahitaji tubadili mfumo wa elimu uwe wa ufundi zaidi na tuwekeze kwenye kilimo na ufugaji tuwasomeshe wataalamu ili wananchi waweze kujisimamia kwenye maisha ya kawaida ila kwa elimu hii tutaendelea kuzalisha kizazi ambacho kinaomba maloli yapate ajali wachote mafuta nakuomba mama do it.

Naangalia watu ambao wamepewa maisha mazuri na  najaribu kuwaza k**a mzazi huwa siioni furaha kwenye uso wa huyu mwamba ...
13/04/2024

Naangalia watu ambao wamepewa maisha mazuri na najaribu kuwaza k**a mzazi huwa siioni furaha kwenye uso wa huyu mwamba kwasababu mi naamini akikumbuka njia alizopita hata machozi lazima yamtoke kwasababu ana siri nzito kwenye njia zake ambazo hawezi msimulia hata mama yake wala kaka yake na sio mpenzi wake huyu ndio kabisa kwasababu kuna siku alidharauliwa,kukataliwa na kubezwa kubwa zaidi kuna maamuzi naamini alichukua siku akiweka wazi basi kila mmoja atabaki kushangaa jinsi alivyoamua mi binafsi huwa namwangalia kwa jicho la tofauti sana,nakusihi hiyo kazi unayofanya kumsifia ongeza viwango kwasababu ndio faraja yake kubwa sana.

Huyu ni mkuu wa wilaya bora kabisa kuwahi kumuona katika maisha yangu mi sio muumini sana wa kufuatilia viongozi lakini ...
08/04/2024

Huyu ni mkuu wa wilaya bora kabisa kuwahi kumuona katika maisha yangu mi sio muumini sana wa kufuatilia viongozi lakini huyu dada yangu natamani aje kuwa raisi wa pili mwanamke baada ya mama mfuatilie uone kazi inavyopigwa mpaka Raha.

19/05/2022

Mahaba

12/05/2022

Kambanga Gonzaga Komba kazini.

12/04/2022

Simba wa michongo

Address

Iganzo And Itumbi
Iyunga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kamba_nga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to kamba_nga:

Share