19/12/2021
NYOTA YAKO LEO JUMAPILI DECEMBER 19/2021
☣️MSHALE– (November 22– December 21)
K**a Nyota Yako ni mshale 🏹 jumapili hii uwe makini na mipango Yako unayo ipanga usiwe mtu wa kigeu geu panga jambo ukiwa na uhakika na mipango Yako k**a hukua makini unaweza kuingia katika mipango feki yenyewe majuto na lawama karibu kumshirikisha mtu wako wa karibu yani mumeo mpenzi, au mama yako usipange jambo bila kuwashirikisha hawo kwakuwa niwatu muhimu kwako na waaminifu sana kwako.
💞 *UPANDE WA MAPENZI*
Ili kuondoa ugovyi wa mara kwa mara katika mahusiano yako ya kimapenzi jaribu kuwa makini katika kauli zako kuwa mpole usijisahau kuwa mwenza wako ni mtu wa kupima mambo na kuyapa uzito mkubwa na kuyachukulia nivyema ukawa makini ili kuendelea kulipanua na kulikuza penzi lako kwa mwenza wako.
☣️MBUZI– (December 22– January 20)
K**a nyota yako ni mbuzi 🐐 jumapili hii tafuta mtu akusaidie kwakua nataka ndio jambo lako unalotamani ila hali yako imekuwa ngumu uhakika wa kipato chako umekuwa wa kubahatisha ingawa una wasi wasi sana uliotawala kwemye moyo wako nivyema ukatafuta mtu akakusaidia huenda ukapata ahueni.
💞 *UPANDE WA MAPENZI*
Mapenzi kwako hayana muelekeo unao utaka mapenzi kwako yamekuwa kigeu geu sana Ulie nae unashindwa kumuamini kwakuwa hana muelekeo ulio nyooka nivyema ukatagakari sana nakuweza kuchukua hatua yenye umakini kwakuwa mapenzi kwako nikitu chamuhimu yakiharibika mapenzi na mambo yako mengine yanaharibika.
☣️NDOO– (January 21– February 19)
K**a nyota yako ni ndoo jumapili hii zimekaa vizuri sana kwako ingawa kipato kikubwa kinaonekana mbele yako ni vyema ukatumia furasa hii kutekeleza mambo yako maana kipato kikubwa kipo mbele yako na k**a hukuwa makini pesa unayo ipata inaweza isikae na itatumika katika matumizi yasiokuwa na ulazima nak**a yaliotajwa hapa huyaoni jaribu kupata ushauri kwa watabiri wa nyota maana utakuwa una matatizo kwenye mwili wako maana nyota ya ndoo ipo vizuri na sehemu kubwa ya malengo ya watu wenye nyota ya ndoo malengo y