KULI On Tz

KULI On Tz Kujenga fikra chanya na hamasa ya mafanikio kwa vijana wa Kitanzania. 🇹🇿 | Personal Development & Growth Coach. | Karibu tujifunze mbinu za maisha.

31/03/2026

KUWEKA MALENGO NA KUYAFUATILIA UKITUMIA
MALENGO SMART
ON TZ

25/03/2026

SAFARI MPYA, FIKRA MPYA! 🚀
​Habari za mchana ndugu zangu na vijana wenzangu wa Kitanzania.
​Leo nimeamua kufungua ukurasa huu wa KULI On Tz kwa lengo moja kuu: Kuwa sehemu ya mabadiliko chanya kwenye maisha yako. Naamini kuwa mafanikio hayaji kwa bahati mbaya, bali yanajengwa kupitia Fikra Chanya, Nidhamu, na Hamasa ya kutokukata tamaa.
​Kupitia ukurasa huu, nitakuwa nikishare nanyi:
✅ Mbinu za kujiendeleza kibinafsi (Personal Development).
✅ Masomo ya maisha yatakayokupa nguvu ya kupambana.
✅ Hamasa ya kila siku kuelekea ndoto zako.
​Safari ya kuelekea ubora imeanza rasmi hapa Kigoma na kusambaa nchi nzima. Karibu tushirikiane, tujifunze, na tukue pamoja.
​Bofya "Follow" ili usipitwe na chochote kwenye safari hii ya mafanikio.
​

15/03/2026

� USISUBIRI KILA KITU KIWE SAWA NDIO UANZE!
​
​� Je, ni ndoto gani uliyokuwa ukiisubiri kuanza? Comment hapa chini, na tupane hamasa!
​

Address

Kigoma
Kasulu
5623

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KULI On Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share