Junior Jumbo_Enterprises

Junior Jumbo_Enterprises Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Junior Jumbo_Enterprises, Business, MWENGE , KANISA LA SABATO, Kinondoni.

Inahusika na uuzaji wa spea zote za TVS KING ,ina mafundi wazoefu,pia inahusika na ukodishaji wa magari kwa ajiri ya kazi mbali mbali ,kwa rates nzuri .Pia tuna huduma za usafiri wa Bajaj.

KARIBUNI SANA KATIKA DUKA LETU LILILOPO MWENGE KARIBU NA KANISA LA SABATO ,MJIPATIE SPARES ZA TVS KING ,KWA BEI NAFUU.TU...
15/03/2019

KARIBUNI SANA KATIKA DUKA LETU LILILOPO MWENGE KARIBU NA KANISA LA SABATO ,MJIPATIE SPARES ZA TVS KING ,KWA BEI NAFUU.
TUNA PRESS PIVOT PIN ZA TVS KINGS KWA BEI NAFUU ZAIDI,MAFUNDI WAPO MUDA WOTE.KARIBUNI SANA.
2019 NI MWAKA WA FURSA.

Mteja wetu, sasa unaweza kuileta bajaj yako hapa kwetu,kisha mafundi wakaishughulikia !! Pia waweza kuja kununua oils kw...
14/08/2017

Mteja wetu, sasa unaweza kuileta bajaj yako hapa kwetu,kisha mafundi wakaishughulikia !!
Pia waweza kuja kununua oils kwa ajiri ya boda boda yako.
karibu sana!!!

WATEJA WETU WAPENDWA ,WAMILIKI NA MADEREVA WA PIKIPIKI ZA MATAIRI MATATU(BAJAJ NA TVS KING) ,PIA WALE WA PIKIPIKI ZA MAT...
10/08/2017

WATEJA WETU WAPENDWA ,WAMILIKI NA MADEREVA WA PIKIPIKI ZA MATAIRI MATATU(BAJAJ NA TVS KING) ,PIA WALE WA PIKIPIKI ZA MATAIRI MAWILI ( AU BODABODA) ,MNAKARIBISHWA KWA AJIRI YA PUNGUZO KUBWA LA BEI ZETU ZA OILS ( MOGAS SAE 40,20W-50,)PIA ORYX ,TOTAL,TITAN,NA MEEZAN.
BEI ZETU NI ZA CHINI MNOO KULIKO POPOTE .
MPE TAARIFA MWENZAKO MJE KUJIPATIA MAHITAJI.
PIGA SIMU 0656-049 774

14/07/2017

Je una bajaj yako ina matatizo ya kiufundi,una matatizo ya kupata spares?
Tupo kwa ajiri yako kukutatulia matatizo yako,tuna spares zote halisi kwa bei nafuu,na mafundi wazoefu wapo!!!!!
tupigie simu 0656 049774 ,tupo Mwenge karibu na kanisa la wasabato .

Mafundi wazoefu wakiwa kazini ,wakihudumia bajaj za wateja wetu.Karibu upate huduma bora na za uhakika.JUNIOR JUMBO GARA...
14/07/2017

Mafundi wazoefu wakiwa kazini ,wakihudumia bajaj za wateja wetu.Karibu upate huduma bora na za uhakika.
JUNIOR JUMBO GARAGE-MWENGE ,DSM

Tuna oils aina zote maalum kwa bajaj na pikipiki  za matairi mawili.Mogas ,Oryx,Total,Titan etc, bei ni nzuri .
15/06/2017

Tuna oils aina zote maalum kwa bajaj na pikipiki za matairi mawili.
Mogas ,Oryx,Total,Titan etc, bei ni nzuri
.

30/05/2017

KARIBU SANA JUNIOR JUMBO ENTERPRISES KWA AJIRI YA HUDUMA BORA ZA MAFUNDI WA TVS KING NA SPEA HALISI KWA BEI NAFUU.
TUPIGIE 0656 049 774.

24/05/2017
24/05/2017

KARIBUNI SANA HAPA JUNIOR JUMBO ENTERPRISES MPATE HUDUMA BORA KWA BAJAJ /TVS KING .SPEA ZOTE NI HALISI NA BEI NAFUU
PIA KUNA MAFUNDI HODARI KWA HUDUMA YA HARAKA NA MAKINI.

CALL +255 656 049 774

Inahusika na uuzaji wa spea zote za TVS KING ,ina mafundi wazoefu,pia inahusika na ukodishaji wa magari kwa ajiri ya kazi mbali mbali ,kwa rates nzuri .Pia tuna huduma za usafiri wa Bajaj.

24/05/2017

Address

MWENGE , KANISA LA SABATO
Kinondoni
1029

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00
Sunday 09:00 - 16:00

Telephone

+255656049774

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Junior Jumbo_Enterprises posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category