GoalsPesa Tanzania

GoalsPesa Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GoalsPesa Tanzania, Internet service provider, KITUNDA, Kitunda.

GoalsPesa Powered by G-services
✓Tunakuongoza kusimamia pesa zako na kufikia malengo yako goalspesa.com
✓Pata Bando za Internet mitandao yote popote ulipo Tanzania

Msaada Whatsapp na Normal call👇
____ https://wa.me/goalspesahelptz

01/08/2026

Msahauri wa maswala ya fedha 👇
0711 111 110

18/06/2026

🎙️ KARIBU GM-RADIO 🎙️

Je, unatafuta mahali pa kujifunza, kuburudika na kupata fursa mpya?

🌍 Jiunge na GM-Radio, radio ya online inayorusha matangazo kutoka Kitunda, Dar es Salaam Tanzania na kufika kote duniani kupitia imo Voice Club.

🕒 TUNAKUTANA KILA SIKU SAA 3:00 USIKU

📻 Utapata:
👥 Utambulisho wa Wasikilizaji na Wageni
📰 Habari na Matukio ya Vijana
💰 Elimu ya Fedha na Biashara
🎵 Burudani na Muziki
🚀 Fursa za Ajira, Biashara na Teknolojia
🎤 Majadiliano, Maoni na Maswali

📲 WhatsApp (CEO): +255 711 111 110
☎️ Mawasiliano Yote: +255 680 717 171

🎙️ GM-RADIO | Mawazo • Burudani • Fursa

"Sauti ya Vijana Tanzania." 🌍 Powered by G-services

WATU WENGI WANASUBIRI MUUJIZA, LAKINI MUUJIZA HUANZA KWA HATUA MOJA.Anza leo. Jifunze leo. Fanya kazi leo. Kesho itakuku...
10/06/2026

WATU WENGI WANASUBIRI MUUJIZA, LAKINI MUUJIZA HUANZA KWA HATUA MOJA.

Anza leo. Jifunze leo. Fanya kazi leo. Kesho itakukuta ukiwa mbele zaidi kuliko jana.

💪 Ukikubaliana na jumbe hii usiache kushare best.

08/05/2026

Wajanja tupo huku wee kalaga bahooo😁😁

🚀 Karibu GoalsPesa NetHub ✅Hii ni channel iliyothibitishwa (verified) huduma zetu ni halali na zinaaminika.Tayari tuna f...
04/05/2026

🚀 Karibu GoalsPesa NetHub ✅

Hii ni channel iliyothibitishwa (verified) huduma zetu ni halali na zinaaminika.

Tayari tuna familia ya watu zaidi ya 1,000+ wanaotuamini na kufurahia huduma zetu kila siku 🙌

📡 Ukijiunga utapata:
✔️ Bando za internet Bei nafuu zaidi mitandao yote
✔️ Elimu ya fedha ya kukusaidia kufikia malengo yako ya kifedha
✔️ Ofa na huduma za uhakika kwa haraka

👉 Jiunge sasa hapa: https://whatsapp.com/channel/0029VaSFXH3JuyAKf8oKzB3C

Usikose nafasi hii kuwa sehemu ya familia ya watu wanaochukua hatua 💙

24/04/2026

Check out Voice of Hope Ministries’s video.

💡 Anza Leo, Hata na Tsh 500 Itabadilisha Kesho YakoWatu wengi wanafikiria kwamba ili kuanza kuweka akiba lazima uwe na p...
11/04/2026

💡 Anza Leo, Hata na Tsh 500 Itabadilisha Kesho Yako

Watu wengi wanafikiria kwamba ili kuanza kuweka akiba lazima uwe na pesa nyingi… Hapana.

Ukweli ni huu:
🔹 Tsh 500 unayotumia leo bila mpango
inaweza kuwa mwanzo wa mabadiliko yako ya kifedha ya kesho.

Kila mafanikio huanza na hatua ndogo.
Usisubiri mshahara mkubwa, anza na ulichonacho sasa.

📌 GoalsPesa Tanzania inakusaidia elimu ya kuweka akiba kwa malengo yako:
– Biashara
– Ada
– Ujenzi
– Na malengo mengine ya maisha

Chagua lengo lako.
Anza kidogo.
Endelea kwa nidhamu.

Kesho yako inaanza na uamuzi wa leo.

Anza kidogo leo…Kesho yako ibadilike kabisa 💰GoalsPesa ipo kwa ajili yako.Ingia sasa 👇goalspesa.com
07/04/2026

Anza kidogo leo…
Kesho yako ibadilike kabisa 💰

GoalsPesa ipo kwa ajili yako.

Ingia sasa 👇
goalspesa.com

Kila hatua ndogo ina maana kubwa! 💚Usidharau kiasi kidogo unachoweka leo, maana ndicho kinachojenga kesho yako bora. End...
03/04/2026

Kila hatua ndogo ina maana kubwa! 💚
Usidharau kiasi kidogo unachoweka leo, maana ndicho kinachojenga kesho yako bora. Endelea kuwekeza taratibu, kuwa na nidhamu ya akiba, na usikate tamaa.
Kupitia GoalsPesa, ndoto zako zinaanza kutimia hatua kwa hatua.
Leo ni kidogo, kesho ni mafanikio makubwa!

Address

KITUNDA
Kitunda
12111

Opening Hours

Monday 08:00 - 22:00
Tuesday 08:00 - 22:00
Wednesday 08:00 - 22:00
Thursday 08:00 - 22:00
Friday 08:00 - 22:00
Saturday 08:00 - 22:00
Sunday 08:00 - 21:00

Telephone

+255711111110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GoalsPesa Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to GoalsPesa Tanzania:

Shortcuts

Share