11/05/2023
Kuna vitu kadhaa vya kuzingatia kabla kuzalisha katika kilimo ili kuleta tija katika kilimo cha kisasa yaani kilimo biashara.
Mambo k**a uchaguzi wa zao sahihi la kuzalisha , uhakika wa masoko na taarifa za kutosha kuhusu zao husika, uvunaji sahihi na kwa wakati na pia kutenganisha(sorting/grading). Hii itakuepushia kutafta walanguzi au madalali katika mazao yako.
NB kilimo ni biashara