Benedict CHARZ

Benedict CHARZ Mwandishi/Mcheshi

24/08/2021

Jiliwaze kidogo

29/02/2020
22/02/2020

Mechi namba 220 Yanga Sc 0 vs Tz Prisons 0;

Timu ya Yanga sc imetozwa faini ya Tsh.500,000/_(laki tano) kwa kosa la timu Hiyo ya Yanga Sc kushindwa kuwasilisha fomu ya wachezaji wao kwenye pre_match ya kwenye mchezo wao uliofanyika mnamo february 15,2020,uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam..!

Adhabu hiyo imetolewa kwa kufuata kanuni ya 14(3) ya Ligi kuu bara kuhusu taratibu za mchezo husika.!!
TFF
(C)2020 MafingaMEDIA

21/02/2020

Hakika mapenzi yana uma usisikie kwa kuambiwa,,,,kila mtu kwenye maisha yake amesha wahi kuumizwa na mapenzi lakini huwezi kupenda kitu ambacho hujakiona ndio maana ikasemekana kwamba kupenda ni maradhi....!!!

11/02/2020

Address

Mafinga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Benedict CHARZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share