Sebastian Emanuell Atilio

Sebastian Emanuell Atilio website, blogs, news, music, youth movements, education, Radio presenter, journalist, Tv program MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI KAZI MIKONO YANGU.

Sebastian Emanuel Atilio, ni kijana mwenye malengo chanya ya ujenzi wa taifa na kuubadilisha ulimwengu mpya zaidi ki fikra. Pia nimwandishi wa Habari za jamii, pia amehudumu kama mwandishi, IT na fundi mitambo Radio Maria Tanzania. sebastian Emanuel Atilio kwa sasa anamiliki website ya ujenzi wa taifa ambayo ni www.ujenzi.kbo.co.ke. pia kwa sasa anafanya kazi kama mkurukenzi wa masoko na mtangazaj

i wa kampuni ya ROCK MEDIA GROUP (ROCK FM 96.9).Malengo yake ni makubwa zaidi hasa kuangalia mabadiliko makubwa ya Tehama za kisasa na kuifanya Tanzania kuwa sehem ya Amani zaidi.

Address

Mafinga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sebastian Emanuell Atilio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sebastian Emanuell Atilio:

Share