12/10/2026
Faida ya kutumia hot water 🎒 ( bags)
1) hupunguza maumivu ya hedhi kwa kulegeza misuli ya tumbo
2) husadia kupunguza maumivu ya mgongo shingo na mabega
3) Hulegeza misuli iliyokaza baada ya kufanya kazi au mazoezi
4) hutoa joto wakati wa baridi na kuusadia mwili kujisikia wenye faraja
5 ) huchocheq mzunguko wa damu katika eneo linalowekwa joto , jambo linaweza kusadia kupunguza ukakamavu wa misuli
WhatsApp and calls0755399099