Afyaa

Afyaa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afyaa, Brand, Mbeya, Mbeya.

K**a tunavyo fahamu MWAKA NDIYO unaisha umejipanga vipi kumaliza vizuri Njoo Kesho ujifunze na kupewa mbinu za kufunga M...
14/10/2022

K**a tunavyo fahamu MWAKA NDIYO unaisha umejipanga vipi kumaliza vizuri Njoo Kesho ujifunze na kupewa mbinu za kufunga Mwaka 2022 kwa kishindo Njoo Dm nikupe card yako.

Wakati muonekano wako unakua Poa inafanya akili kurelux
10/10/2022

Wakati muonekano wako unakua Poa inafanya akili kurelux

Mungu alimwambia Ibrahimu tazama kaskazini kusini mashariki magharibi vile umeona ndivyo utakavyo kuwa (vision) watu wen...
09/10/2022

Mungu alimwambia Ibrahimu tazama kaskazini kusini mashariki magharibi vile umeona ndivyo utakavyo kuwa (vision) watu wengi tuma tamani sana kufanyikiwa k**a huna vision uwezi kufanikiwa mtu mwenye vision apate asipate asemwe atukanwe ashangiliwe asishangiliwe yeye anazidi kufanya hebu jiulize vision yako ni nini?

Dodoma dodoma jumamosi hii ni bahati ya kipekee kukutana na vijana wenye mafanikio wakikuonesha namna ya kupanga malengo...
06/10/2022

Dodoma dodoma jumamosi hii ni bahati ya kipekee kukutana na vijana wenye mafanikio wakikuonesha namna ya kupanga malengo na kufunga MWAKA kwa mafanikio zaidi nicheki nikupe nafasi

Watashindana lakini hawatoshinda Majaribu ni Mtaji Mungu akutie Nguvu.
04/10/2022

Watashindana lakini hawatoshinda Majaribu ni Mtaji Mungu akutie Nguvu.

Jumapili njema kwako rafiki angu Kumbukumbu ya Torati 8:18
02/10/2022

Jumapili njema kwako rafiki angu Kumbukumbu ya Torati 8:18

Leo imekuwa kawaida kuona vijana wengi wakikata tamaa katika kupambania ndoto zao na ukizingatia MWAKA unaisha 2022 tume...
28/09/2022

Leo imekuwa kawaida kuona vijana wengi wakikata tamaa katika kupambania ndoto zao na ukizingatia MWAKA unaisha 2022 tumebakiza miezi miwili tu kumaliza mwaka Taasisi Kubwa iliyobeba vijana wengi umeandaa hii Semina ya biashra Lengo ni kuwaonesha vijana namna ya kuzifikia ndoto zao lakini pia kufanya kazi na company yetu k**a upo mbeya au mkoa wowote wasiliana nasi 255621056834 Ili upate muongozo.

Ready for evening exercise
27/09/2022

Ready for evening exercise

Asante Mungu kwa siku hii tena ya leo katika kuhakikisha tunatimiza Ahadi zako Naomba nipe weredi nikakutumikie wewe dai...
25/09/2022

Asante Mungu kwa siku hii tena ya leo katika kuhakikisha tunatimiza Ahadi zako Naomba nipe weredi nikakutumikie wewe daima katika maisha yangu na Ibada yangu ya leo ikawe ya kheri na kuleta matunda yaliyo mema.

Rafiki mzuri ni yule anaekupa changamoto ya kupambana zaidi Asante boss Kwa ukarimu wako.
24/09/2022

Rafiki mzuri ni yule anaekupa changamoto ya kupambana zaidi Asante boss Kwa ukarimu wako.

Address

Mbeya
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afyaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category