Elimika Ung'are Professional Service Firm

Elimika Ung'are Professional Service Firm Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elimika Ung'are Professional Service Firm, Consulting Agency, Mbeya.

Elimika Ung'are Professional Service Firm is a leading business consulting and advisory firm specializing in a range of services; Company Affairs and Regulatory Services, Taxation & and Value Added Tax services, Accounting and Corporate Legal Service.

Tanzanian businesses can be registered as a business name, a local company or a foreign company.Business Registrations a...
11/08/2026

Tanzanian businesses can be registered as a business name, a local company or a foreign company.

Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) is responsible for business registration in Tanzania. BRELA issues certificates of compliance for foreign companies, certificates of incorporation for local companies and certificates of registration for single proprietorship or partnership.

Registered Firms must then register their businesses with the Tanzania Revenue Authority (TRA), the National Social Security Funds (NSSF) in Tanzania and depending on their business activities firms must obtain business licence from Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) for business under ("schedule A") or the Municipality for business under (“schedule B").

Elimika Ung'are Professional Service Firm is a leading business consulting and advisory firm specializing in a range of services including; Company Affairs and Regulatory Service, Taxation & Value Added Tax (VAT) service, Accounting and Reporting Service, Specialized Finance & Funding Service, IT Products & Solutions, Audit & Assurance Services, Virtual Strategic Service, Managed Service Like HR, Marketing & Branding, Supply Chain Management (SCM), Legal and Logistics Service, Back Office Management Service, Professional Skill Based Trainings and Comprehensive Business Advisory Services.

With our 24/7 services, you can rest assured that we are always available to provide the support you need. We always stress the importance of business formalisation. Being informal inhibits small businesses and enterprises success, this is because small and medium size enterprises don’t have an easy access to credit and business development services. We always tell that, informal small businesses and enterprises cannot enter into contract with large domestic and foreign companies. It has been empirically proven that, there is a correlation between formalisation and a firm’s success.

For more info and bookings contact us: +255766656758/+255655056758.

Cc. Elimika Ung'are Professional Service Firm

Elimika Ung'are Professional Service Firm tunatoa huduma ya kusaidia wafanyabiashara, wajasiriamali, wawekezaji na wamil...
07/08/2026

Elimika Ung'are Professional Service Firm tunatoa huduma ya kusaidia wafanyabiashara, wajasiriamali, wawekezaji na wamiliki wa makampuni nchini Tanzania kuomba leseni na vibali mbalimbali vinavyohitajika kwenye biashara zao.

Hivyo Elimika Ung'are Professional Service Firm tunakuhakikishia unafikia na kukidhi vigezo vya kisheria na kuwa na vibali vyote muhimu kwa ajili ya kuendesha biashara yako. Hivyo tunawarahisishia wafanyabiashara wote katika maswala ya; usajili wa biashara, kampuni, maombi ya TIN, Tax clearance, maombi ya leseni zote za biashara, nk.

Vilevile tunatoa huduma za kusajili kampuni, sisi ni wataalam wa kuhakikisha mchakato huu unafanyika kwa ufanisi na haraka. Usajili wa kampuni ni muhimu kwa biashara zote zinazotaka kufanya kazi kisheria nchini Tanzania. Pia tunafanya huduma ya uhuishaji wa taarifa za Makampuni na Majina ya Biashara yaliyosajiliwa nje ya mfumo wa Usajili kwa Njia ya Mtandao (Online Registration System - ORS).

Njoo tukushauri na tukuhudumie kwa bei poa. Elimika Ung'are Professional Service Firm hatuishii tu kukufanyia usajili wa jina au kampuni yako, bali pia tunakupatia ushauri juu ya uendeshaji wa biashara na makampuni kabla na baada ya usajili. Ukisajili na kufanya kazi nasi utanufaika moja kwa moja kupatiwa muongozo wa kisheria kuhusu uendeshaji wa biashara zako pamoja na kuendelea kukushauri mteja wetu maswala mbalimbali ya kisheria, kibiashara na kiuchumi.

☎️ 0766656758/0655056758

Cc. Elimika Ung'are Professional Service Firm

Popote Ulipo Tanzania, karibuni sana Elimika Ung'are Professional Service Firm tuwahudumie, tunasajili kampuni, majina y...
03/08/2026

Popote Ulipo Tanzania, karibuni sana Elimika Ung'are Professional Service Firm tuwahudumie, tunasajili kampuni, majina ya biashara, alama za biashara, maombi ya leseni kundi A na B, leseni za microfinance BOT, na nyinginezo kwa haraka na wepesi zaidi. Elimika Ung'are Professional Service Firm tunatoa huduma ya kusaidia wafanyabiashara, wajasiriamali, wawekezaji na wamiliki wa makampuni nchini Tanzania kuomba leseni na vibali mbalimbali vinavyohitajika kwenye biashara zao.

Tunawahakikishia mnafikia na kukidhi vigezo vya kisheria na kuwa na vibali vyote muhimu kwa ajili ya kuendesha biashara zenu. Sisi ni wataalam wa kuhakikisha mchakato huu unafanyika kwa ufanisi na haraka. Lakini pia, endapo unahitaji usaidizi katika documentation, TRA E-filing, drafting and online filing kwa gharama nafuu na haraka, usisite kuwasiliana nasi.

📞 0766656758/0655056758

Kusajili biashara inahusisha kusajili Jina la Biashara, Partnership au Kampuni kwenye mamlaka za usajili na leseni BRELA...
31/07/2026

Kusajili biashara inahusisha kusajili Jina la Biashara, Partnership au Kampuni kwenye mamlaka za usajili na leseni BRELA.

Kurasimisha biashara kunahusisha: kujenga uwezo kwa mfanyabiashara ili aweze kufanya biashara kwenye mfumo rasmi pamoja kuondoa vikwazo vya sheria na kanuni ili kuboresha mazingira ya kufanya biashara kwenye mfumo rasmi.

Biashara iliyorasmi kimsingi inakuwa imesajiliwa aidha k**a jina la biashara, kampuni au ubia. Lakini pia biashara rasmi inakuwa na mahali maalumu pa kufanyia biashara. Biashara yenyewe inaweza kuwa na akaunti ya benki, inauwezo wa kutunza kumbu kumbu za mahesabu, Ina uwezo wa kutofautisha mali binafsi na mali za biashara, inakuwa imesajiliwa k**a mlipa kodi, ina wafanyakazi wenye mikataba ya kudumu, ina mahusiano na mifuko ya jamii na ina zingatia sheria za kazi.

Kufanya biashara kwenye mfumo rasmi kuna faida nyingi sana, hususani: urahisi kupanua mtaji; biashara kuendeshwa kisheria na katika eneo maalumu; hakuna bugudha kutoka mamlaka za serikali; wafanyakazi wana mikataba ya ajira hivyo wanakuwa na usalama kazini; kumbukumbu za mahesabu zinatunzwa vizuri na hivyo kuweza kujua faida na hasara ya biashara.

Vilevile ni rahisi kupata mikopo toka benki na taasisi nyingine za fedha, biashara itaweza kukua sambamba na ukuaji wa soko la ndani, ni raisi kufanya biashara na watu wengi zaidi, uhakika wa kupata faida ni mkubwa zaidi, ni rahisi kuingia ubia na watu/mashirika toka nje ya nchi.

Ikiwa unahitaji kusajili kampuni yako, sisi ni wataalam wa kuhakikisha mchakato huu unafanyika kwa ufanisi na haraka. Usajili wa kampuni ni muhimu kwa biashara zote zinazotaka kufanya kazi kisheria nchini Tanzania.

Sajili biashara kwa ofa iliyopo mezani ndani ya mwezi huu. Elimika Ung'are Professional Service Firm ina washauri na watalamu wa uchumi, biashara na uwekezaji wenye ujuzi wa kufanya upembuzi yakinifu na makini katika masuala ya uwekezaji, biashara na ujasiriamali nchini Tanzania.

📞 0766656758/0655056758

Cc. Elimika Ung'are Professional Service Firm

Karibuni sana Elimika Ung'are Professional Service Firm tuwahudumie, tunasajili kampuni, majina ya biashara, alama za bi...
29/07/2026

Karibuni sana Elimika Ung'are Professional Service Firm tuwahudumie, tunasajili kampuni, majina ya biashara, alama za biashara, leseni kundi A kwa haraka na wepesi zaidi.

Elimika Ung'are Professional Service Firm tunatoa huduma ya kusaidia wafanyabiashara, wajasiriamali, wawekezaji na wamiliki wa makampuni nchini Tanzania kuomba leseni na vibali mbalimbali vinavyohitajika kwenye biashara zao.

Tunawahakikishia mnafikia na kukidhi vigezo vya kisheria na kuwa na vibali vyote muhimu kwa ajili ya kuendesha biashara zenu.

Elimika Ung'are Professional Service Firm tunawarahisishia wafanyabiashara wote katika maswala ya kusajili jina la biashara kupitia BRELA (Business Registrations and Licensing Agency).

Vilevile tunatoa huduma za kusajili kampuni, sisi ni wataalam wa kuhakikisha mchakato huu unafanyika kwa ufanisi na haraka. Usajili wa kampuni ni muhimu kwa biashara zote zinazotaka kufanya kazi kisheria nchini Tanzania.

Elimika Ung'are Professional Service Firm tunafanya huduma ya uhuishaji wa taarifa za Makampuni na Majina ya Biashara yaliyosajiliwa nje ya mfumo wa Usajili kwa Njia ya Mtandao (Online Registration System - ORS).

Lakini pia, endapo unahitaji kusajili kampuni, jina la biashara, trademarks, hivyo kuhitaji usaidizi katika documentation, TRA E-filing, drafting and online filing kwa gharama nafuu na haraka, usisite kuwasiliana nasi.

Njoo tukushauri na tukuhudumie kwa bei poa. Elimika Ung'are Professional Service Firm hatuishii tu kukufanyia usajili wa jina au kampuni yako, bali pia tunakupatia ushauri juu ya uendeshaji wa biashara na makampuni kabla na baada ya usajili.

Ukisajili na kufanya kazi nasi utanufaika moja kwa moja kupatiwa muongozo wa kisheria kuhusu uendeshaji wa biashara zako pamoja na kuendelea kukushauri mteja wetu maswala mbalimbali ya kisheria, kibiashara, kiuchumi na maendeleo.

Kumbuka! Elimika Ung’are Professional Service Firm ndiyo taasisi inayoongoza katika kutoa elimu, mafunzo na ushauri wa biashara bure kwa wajasiriamali na jamii kwa ujumla nchini kwa zaidi ya miaka mitano sasa. Tafadhali usikose Kwa maoni na ushauri wasiliana nasi: 0766656758/0655056758.

Cc. Elimika Ung’are Professional Service Firm

Sajili biashara kwa ofa iliyopo mezani ndani ya mwezi huu. Elimika Ung'are Professional Service Firm ina washauri na wat...
29/07/2026

Sajili biashara kwa ofa iliyopo mezani ndani ya mwezi huu. Elimika Ung'are Professional Service Firm ina washauri na watalamu wa uchumi, biashara na uwekezaji wenye ujuzi wa kufanya upembuzi yakinifu na makini katika masuala ya uwekezaji, biashara na ujasiriamali nchini Tanzania.

Elimika Ung'are Professional Service Firm tuna uzoefu wa kusajili makampuni mbalimbali katika sekta tofauti k**a: Microfinance/microcredit Companies; Civil/mechanical/Geo-works or electrical engineering; Agribusiness/agrobusiness/poultry companies; Security Companies; Healthcare/Pharmaceutical Companies; Hardware Companies; Cleaning and Fumigation Companies; Clearing and Forwarding; Transport and logistic companies; Tourism and tour Guiding, General Commercial Businesses Companies, IT Companies, na mengine mengi sana.

📞 0766656758/0655056758

Cc. Elimika Ung'are Professional Service Firm

Sisi Elimika Ung'are Professional Service Firm tunatoa huduma ya usajili wa Majina ya biashara, usajili wa kampuni, uhui...
24/07/2026

Sisi Elimika Ung'are Professional Service Firm tunatoa huduma ya usajili wa Majina ya biashara, usajili wa kampuni, uhuishaji wa taarifa za kampuni/majina ya biashara, maombi ya leseni za biashara, Maombi ya TIN number binafsi na za biashara, usajili wa NGOs,Taasisi za Kijamii, SACCOS, Taasisi za KIDINI, Taasisi za ELIMU, Viwanda, UWEKEZAJI, ushauri wa Kodi na pia tunatoa ushauri juu ya namna bora ya kuendesha biashara nchini Tanzania.

Elimika Ung'are Professional Service Firm hatuishii tu kukufanyia usajili wa jina au kampuni yako, bali bali pia tunakupatia ushauri juu ya uendeshaji wa biashara na makampuni kabla na baada ya usajili na urasimishaji. Tutakuwa nawe katika mchakato mzima wa kuendesha biashara yako mpaka itakapokuwa stable na wewe kupata uzoefu wa kutosha katika biashara yako.

📞 0766656758/0655056758
Cc. Elimika Ung'are Professional Service Firm

Sajili biashara kwa ofa iliyopo mezani ndani ya mwezi huu. Elimika Ung'are Professional Service Firm ina washauri na wat...
24/07/2026

Sajili biashara kwa ofa iliyopo mezani ndani ya mwezi huu. Elimika Ung'are Professional Service Firm ina washauri na watalamu wa uchumi, biashara na uwekezaji wenye ujuzi wa kufanya upembuzi yakinifu na makini katika masuala ya uwekezaji, biashara na ujasiriamali nchini Tanzania.

Elimika Ung'are Professional Service Firm tuna uzoefu wa kusajili makampuni mbalimbali katika sekta tofauti k**a: Microfinance/microcredit Companies; Civil/mechanical/Geo-works or electrical engineering; Agribusiness/agrobusiness/poultry companies; Security Companies; Healthcare/Pharmaceutical Companies; Hardware Companies; Cleaning and Fumigation Companies; Clearing and Forwarding; Transport and logistic companies; Tourism and tour Guiding, General Commercial Businesses Companies, IT Companies, na mengine mengi sana.

📞 0766656758/0655056758

Cc. Elimika Ung'are Professional Service Firm

Chukua Hatua Leo! Kusajili jina la biashara (Business Name), Kusajili kampuni binafsi (Private Company), Kusajili kampun...
24/07/2026

Chukua Hatua Leo! Kusajili jina la biashara (Business Name), Kusajili kampuni binafsi (Private Company), Kusajili kampuni ya Umma (Public Company) na Kusajili Kampuni ya Kigeni (Foreign Company). Sajili kwa usahihi, na ujiunge na kundi la biashara zilizotambuliwa kisheria ili kuongeza fursa na mafanikio yako. Popote Ulipo Tanzania, karibuni sana Elimika Ung'are Professional Service Firm tuwahudumie, tunasajili kampuni, majina ya biashara, alama za biashara, maombi ya leseni kundi A na B, leseni za microfinance BOT, na nyinginezo kwa haraka na wepesi zaidi.

Kumbuka Elimika Ung'are Professional Service Firm tunakusaidia mfanyabiashara katika: Kusajili jina la biashara kupitia BRELA ORS, Kusajili kampuni kupitia BRELA ORS, Kusajili kanisa/ministry, Kusajili NGO kupitia ORS ya NGO, Kusajili logo kupitia BRELA ORS, Deed Poll (kubadilisha majina rasmi), Power of Attorney, Kuandaa nyaraka za usajili wa kampuni, Maombi ya leseni za biashara (Class A & B), Kuandaa Company Profile, Maombi ya TIN Number, Tax filing za kampuni kwa TRA, Kuandaa Audited Financial Statement za kampuni, Kubadilisha jina la biashara kuwa kampuni, uhuishaji wa taarifa za kampuni, nk.

Sajili biashara kwa ofa iliyopo mezani ndani ya mwezi huu. Elimika Ung'are Professional Service Firm ina washauri na watalamu wa uchumi, biashara na uwekezaji wenye ujuzi wa kufanya upembuzi yakinifu na makini katika masuala ya uwekezaji, biashara na ujasiriamali nchini Tanzania.

Elimika Ung'are Professional Service Firm tuna uzoefu wa kusajili makampuni mbalimbali katika sekta tofauti k**a: Microfinance/microcredit Companies; Civil/mechanical/Geo-works or electrical engineering; Agribusiness/agrobusiness/poultry companies; Security Companies; Healthcare/Pharmaceutical Companies; Hardware Companies; Cleaning and Fumigation Companies; Clearing and Forwarding; Transport and logistic companies; Tourism and tour Guiding, General Commercial Businesses Companies, IT Companies, na mengine mengi sana.

📞 0766656758/0655056758

Cc. Elimika Ung'are Professional Service Firm

Faida za kuwa na kampuni ni pamoja na:✅ Huongeza uaminifu kwa wateja kwa sababu biashara yako inakuwa inatambulika kishe...
24/07/2026

Faida za kuwa na kampuni ni pamoja na:

✅ Huongeza uaminifu kwa wateja kwa sababu biashara yako inakuwa inatambulika kisheria.

✅ Hukuwezesha kufanya biashara kwa kujiamini bila hofu ya usumbufu unaoweza kutokea kutokana na kutokuwa na nyaraka muhimu.

✅ Hufungua fursa za kushiriki zabuni, kufanya mikataba na kushirikiana na taasisi za serikali na binafsi ambazo mara nyingi huhitaji biashara iwe imesajiliwa.

✅ Hurahisisha kupata huduma mbalimbali za kifedha k**a mikopo na bidhaa nyingine za benki au taasisi za fedha, kulingana na masharti yao.

✅ Hujenga taswira ya kitaalamu na kuifanya biashara yako ionekane ya kuaminika mbele ya wateja, wasambazaji na washirika.

✅ Huweka msingi mzuri wa kukuza biashara yako, kufungua matawi mapya na kuajiri wafanyakazi kadri biashara inavyopanuka.

Kumbuka: Kulipa kodi kunategemea aina ya biashara, kiwango cha mapato na sheria za kodi zinazotumika. Kusajili biashara hakumaanishi moja kwa moja kwamba kila biashara italipa kiwango sawa cha kodi. Ni muhimu kupata ushauri sahihi kulingana na hali ya biashara yako.

Je, unahitaji kupata: TIN Number, Leseni ya Biashara, Ushauri kuhusu hatua za kurasimisha biashara yako. Tunawahudumia wafanyabiashara na wajasiriamali kwa huduma bora na maelekezo sahihi.

Kwa changamoto za ushauri katika biashara|maswala ya kodi| uhasibu| ukaguzi karibu Elimika Ung'are Professional Service Firm tunatoa huduma za ushauri wa kodi kwa biashara ndogo na kubwa, watu binafsi, na mashirika. Timu yetu ya wataalam wa kodi wana uzoefu wa miaka mingi katika uwanja wa ushauri wa kodi na wanaweza kutoa ushauri juu ya masuala yote ya kodi, pamoja na ushauri wa kodi ya mapato, kodi ya thamani ya ongezeko (VAT), ushuru wa forodha, kodi ya biashara, kodi ya mali na kadhalika.

Elimika Ung'are Professional Service Firm tunawasaidia wafanyabiashara wote nchini Tanzania kwenye maswala yote ya ufuatiliaji wa TIN na Leseni za biashara, usajili wa kampuni na majina ya biashara, usajili wa VAT, uwasilishaji wa VAT, Kutengeneza mahesabu ya mwaka, mahesabu na malipo ya PAYE na SDL, pamoja na mambo yote yanayohusiana na kodi.

☎️0766656758/0655056758

Cc. Elimika Ung’are Professional Service Firm

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elimika Ung'are Professional Service Firm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share