Tangaza uza biashara yako

Call

Tangaza uza  biashara yako Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tangaza uza biashara yako, In-Home Service, Joseph francess, Mbinga.

25/06/2023
11/12/2020

MAAJABU YA MTI WA PILIPILI KICHAA KATIKA TIBA-Asalam alykm,Mti huu una mambo makubwa sana.Moja wapo ni tiba ya maradhi ya kichawi,kupalalaizi,kifafa,kiharusi,pigo la adui,kumuhamisha mtu,tiba ya maradhi ya moyo na saratani,mti huu hutoa majini waliyoshindikana,hutumika kufarakanisha,kuweka limbwata la mapenzi na kuvuruga akili ya mpenzi wako,hutoa ubaya na kifungo cha mwili ama biashara.Mti huu kwa hakika una mambo mengi sana kwa leo tuone kwa uchache kutoa maradhi ya uchawi,majini,nuksi,vifungo utachukua majani yake,mizizi yake,utachukua na majani ya mti wa mkungu,majani ya mti wa kivumbasi,majani ya mti wa mbaazi,utachanganya kisha utayasomea suratul ibrahim,ayat qursiyu,swafat,duhan,khashir,falaq,nas,ikhlasw,yasin utaweka kwa maji utatoga dawa hizo kwa pamoja na nyingine utachemsha na kujifukiza kwa hakika utapata majibu yake.Kumpiga adui,kumuhamisha mtu utachukua pilipil kichaa Arobaini,baruti,chumvi mawe,bukhuri shari,sindano saba,viwembe saba,ndimu saba,utafanya kisomo maalumu utapata majibu mazuri.

Address

Joseph Francess
Mbinga
JOFRANI

Telephone

+255676460419

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tangaza uza biashara yako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share