Mwl. Mussa Seleman

Mwl. Mussa Seleman “I help people start businesses, increase sales, and become effective business leaders.”

*BUSINESS ENGINE & SUSTAINABLE WEALTH CREATION*Baada ya kufanya biashara kwa muda mrefu nimebaini kuwa wanaofanikiwa kwe...
09/06/2026

*BUSINESS ENGINE & SUSTAINABLE WEALTH CREATION*

Baada ya kufanya biashara kwa muda mrefu nimebaini kuwa wanaofanikiwa kwenye biashara si wenye mtaji mkubwa saaana, si wenye ofisi nzuri saana, Si wenye elimu kubwa ya biashara, Si wenye wafanya kazi wengi, n.k.

Bali niwale ambao wanajua Business Drivers.....yaani Kuna vitu kwenye biashara ukivipa kipaumbele zaidi utaona biashara inaenda yenyewe bila kutumia nguvu..

Just like a Car!
Ili Gari ikimbie Kwa Speed kubwa hauhitaji kutumia nguvu kubwa au kuwa na watu wengi sana wa kukusukuma... Si ndiao?

Just Engine iwe nzima, weka Fuel ya kutosha Then washa Gari...

Ndivyo ilivyo kwenye biashara!
Unahitaji kujua Engine nikitu Gani na Fuel ni nini ili usiendelee kutumia nguvu nyingi sana!

Wengine wanalipia matangazo Kila mara mtandaoni lakini biashara Bado haikui🤷‍♂️🤷‍♂️

Tatizo siyo biashara, tatizo nikwamba haujawasha Gari!

Ninajua unaweza kuwa na maswali mengi mpaka Sasa!
Lakini ondoa Shaka. Kitabu hiki kinamajibu Yako.
Ijumaa kitakuwa sokoni.

Wewe kazi yako ni moja tu....fanya hivi sasahivi
andika hapa chini kwenye Comment. "KIKISHATOKA NIWE WAKWANZA KUPATA NAKALA"
au piga simu kwa namba hii.0756476874

BUSINESS ACCELERATION Series  #3."Mastering Sales Skills For faster Business Growth "Hii nikati ya seminar muhimu Sana K...
29/05/2026

BUSINESS ACCELERATION Series #3.
"Mastering Sales Skills For faster Business Growth "

Hii nikati ya seminar muhimu Sana Kwa mfanya biashara anayetaka kuona biashara yake inakua haraka sana.

NI JUMAMOSI 13/6/2026. Morogoro Mjini.
unalipia TSH 20,000/= TU.

Agenda kuu katika seminar hii ni KUJADILI NA KUJIFUNZA MBINU ZA KUUZA ZAIDI ( *SALES SKILLS FOR BUSINESS GROWTH* )

*Dr Chris Mauki* Atafundisha *Sales Psychology*

*Mwl M***a Seleman* atafundisha *Sales Strategies*

na watu wengine wengi watakuwepo kutoka mikoa mbalimbali.
tutakuwa na muda mwingi wa majadiliano kuliko mafundisho.
hii itasaidia wafanyabiashara wote kufanya marketing ya bidhaa au huduma zao. hatimaye kupelekea kuongeza masoko na Network.

t-shirt pia zipo tayari ukihitaji nipigie 0756476874 uweke oda Yako. T-shirt ni TSH 15,000/= TU.

Maelekezo mengine yote yapo kwenye Poster hii.

Plan Not To Miss 🤝

Atakuwepo kwenye seminar tarehe 13/6/2026 Morogoro.
26/05/2026

Atakuwepo kwenye seminar tarehe 13/6/2026 Morogoro.

If you don't know your value, they will under-Value You.If You don't Know How You Are, they'll tell you who you are not....
21/05/2026

If you don't know your value, they will under-Value You.

If You don't Know How You Are, they'll tell you who you are not.

EMBU LEO JIULIZE; 👇👇
*Akitafutwa nani unauhakika utakuwa ni wewe??*

*13/6/2026.* K**a upo morogoro seminar hii siyo ya kukosa. Believe me Kuna namna biashara Yako itabadilika baada ya kush...
21/05/2026

*13/6/2026.*

K**a upo morogoro seminar hii siyo ya kukosa. Believe me Kuna namna biashara Yako itabadilika baada ya kushiriki seminar hii.

tukutane Tax Palace Hotel Morogoro Mjini

MTEJA ASIPONUNUA usimchukie Wala usikasilike Bali jiulize kwanini hajanunua wakati umempatia maelekezo sahihi??? kwanini...
18/05/2026

MTEJA ASIPONUNUA

usimchukie Wala usikasilike Bali jiulize kwanini hajanunua wakati umempatia maelekezo sahihi???

kwanini hajanunua wakati umempunguzia bei??

jibu la kwanini litakusaidia kuuza zaidi mbele ya safari.

tukutane mwenye seminar ya Sales Skills tarehe 13/6/2026

YOUR BUSINESS CAN GROW FASTER — IF YOU LEARN HOW TO SELL EFFECTIVELY.Many businesses fail not because they have bad prod...
18/05/2026

YOUR BUSINESS CAN GROW FASTER — IF YOU LEARN HOW TO SELL EFFECTIVELY.

Many businesses fail not because they have bad products, but because they lack strong sales systems and understanding of customer psychology.

Join BUSINESS ACCELERATION SERIES #3 and gain practical, real-world business and sales strategies that can transform your results.

Trainers:
Dr. Chris Mauki – Training on Sales Psychology
Mwl. M***a Seleman – Business Growth & Sales Strategies

Why Not Miss This Golden Learning opportunity?
Here are some reasons:
1. Learn how to increase sales
2. Learn how to attract loyal customers
3. Learn how to market with confidence
4. Learn how to professionally close deal with your clients
5. Understand powerful sales psychology techniques that influence buying decisions

📅 13th June 2026
📍 Tex Palace Hotel – Morogoro
💰 TZS 20,000/=

ONLY 50 PARTICIPANTS WILL BE ACCEPTED.

📞 0679 194 979 | 0756 476 874/0623222966

01/05/2026

UNATAKA KUKUZA BIASHARA YAKO KWA SPEED MWAKA HUU 2026?

K**a jibu ni ndio
Fanya hivi👇👇

PANGA KUFIKA TAX PALACE HOTEL MOROGORO TAREHE 13/6/2026. Kutakuwa na Seminar Nzuri sana "BUSINESS ACCELERATION Series 3"

Habari njema sasa:
Dr Chris Mauki .....atafundisha SALES PSYCHOLOGY.




*NI MUHIMU SANA K**A MFANYA BIASHARA...*Kila siku uwe unapata anagalau wateja wapya 5 mpaka 10.Maana yake kwa mwaka unau...
21/04/2026

*NI MUHIMU SANA K**A MFANYA BIASHARA...*

Kila siku uwe unapata anagalau wateja wapya 5 mpaka 10.

Maana yake kwa mwaka unauhakika wakuwa na wateja wapya 1500 mpaka 3650

Hapo ndio utakuwa na uhai wa biashara.

Ukiona siku imepita haujapata mteja mpya.....hatak**a umeuza sana siku hiyo ujue Kuna hasara.

Unajua kwanini???

Kwasababu hao wateja ulionao Leo muda wowote wanaweza kukuhama.

*Mteja anatafuta suluhisho na unafuu kwakwe*

Chukulia mfano: k**a kunabidhaa au huduma kwako anaipata Kwa TSH 10,000/=
Siku akipata anayeuza huduma hiyo hiyo Kwa TSH 9500/= huyo anakuhama ingawa siyo wote lakini asilimia kubwa wapo hivo.

Sasa ili wewe usiyumbe kwenye biashara Yako.....dawa siyo kung'ang'ania wateja haohao mpaka siku ukisikia amenunua kwa jirani unamchukiaaaaa🙃

Nooo Mteja anatafuta unafuu wakati wewe unatafuta faida🤷‍♂️

*ONGEZA BIDII KUPATA WATEJA WAPYA KILA SIKU*

njia ni rahisi sana. Tumia *word of mouth* au *Running Ads online*
Nihivo tu🤝

*Je unahitaji msaada zaidi kwenye Hilo?*
📞 0756476874

*IF YOU WANT TO INCREASE YOUR SALES, STOP TRYING TO LEARN EVERYTHING; LEARN STRATEGICALLY* Instead of consuming endless ...
15/04/2026

*IF YOU WANT TO INCREASE YOUR SALES, STOP TRYING TO LEARN EVERYTHING; LEARN STRATEGICALLY*

Instead of consuming endless information, focus on guided learning.

Find the right GUIDANCE
Someone who can walk with you step-by-step based on your specific business until you become confident and profitable.

Here’s what the RIGHT guidance should help you master:

1️⃣ How to position your social media to attract the right customers

Not just followers but buyers

2️⃣ How to connect Facebook, Instagram & WhatsApp Business

So your system works seamlessly to generate leads and sales

3️⃣ How to write powerful ads (Copywriting)

Messages that don’t just get attention but drive action

4️⃣ How to convert interest into sales

A customer sees your ad → comes to WhatsApp
What do you say next to make them BUY?🤷🏿‍♂️

5️⃣ How to turn customers into a growth system

▪️Get referrals
▪️Increase repeat
▪️purchases
▪️Build loyalty

If you master these, your business will grow consistently.

Work smart. Learning strategically. Grow intentionally.

Mwl M***a Seleman

Author & Sales Expert

📞 0756476874

> “The only breath of any business is Sales.

The more sales you generate, the stronger your business becomes.”
Sales = Business Growth

Address

MOROGORO
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwl. Mussa Seleman posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share