Daa Zuu Media Group

Daa Zuu Media Group Da Zuu beauty saloon and collection

NUKUU YA BABA;  Dr.Peter Ikera       "Jifunze kuheshimu unae kaa nae mana hujui kesho atakuwa nani"!!!..@ moyoni mwangu ...
05/12/2023

NUKUU YA BABA; Dr.Peter Ikera
"Jifunze kuheshimu unae kaa nae mana hujui kesho atakuwa nani"!!!..

@ moyoni mwangu nimekuweka wewe yesu ili nisikutende dhambi.

Zaburi 35:1
(A Psalm of David.) Plead my cause, O LORD, with them that strive with me: fight against them that fight against me.

KHOEM MISSION CHURCH

endelea kuisikiliza Tanakh fm 105.9 fm, online radio tanakhfm.radio12345.com.

JINSI YA KULIMA KILIMO CHA FIWI. Fiwi ni aina flani ya maharage  na zao hili hupenda sana kulimwa mkoa wa kilimanjaro ba...
25/10/2023

JINSI YA KULIMA KILIMO CHA FIWI.

Fiwi ni aina flani ya maharage na zao hili hupenda sana kulimwa mkoa wa kilimanjaro baadhi ya maeneo ambayo yana ukame kwa sababu zao hili hiuistahimili sana ukame kwa muda mrefu.Na soko lake sanasana ni Kenya pamoja na India wengi hupenda kutumia k**a chakula lakini kenya hupenda kutengenezea biskuti.

MBEGU ZA FIWI HUPATIKANA WAPI?
Mbegu hizo hupatikana sana mkoa wa Kilimanjaro Na Tanga. Kwasababu ndizo sehemu zinazolima sana zao hilo na wakulima wanapomaliza mavuno huwa wanalihifadhi mbegu mpaka msimu mwingine tena wa kulima tena fiwi.

YANAKAA SHAMBANI KWA MUDA GANI?
Zao hili huwa linakaa shambani kwa takribani miezi mitatu na nusu au minne inategemea na ulivyowahi kupanda zao hilo lakini pia inategemea hali ya hewa.

YANAUZWA BEI GANI?
Bei ya zoa hili huwa inategemea kwa muda wa mavuno na muda wa kupanda hivyo kwa mbegu zenye ubora wa viwango vya juu usisite kunitafta.

KWA MAELEZO ZAIDI NITAFUTE WHATSAP 0677494573 EMAIL([email protected]).

https://zuhuraaman.blogspot.com/2018/04/jinsi-ya-kulima-fiwi.html

Address

P. O. Box 474 Moshi
Moshi
25212

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daa Zuu Media Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Daa Zuu Media Group:

Share