Katavi Entrepreneurs Limited Company

Call Website

Katavi Entrepreneurs Limited Company Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Katavi Entrepreneurs Limited Company, Mpanda.

Katika ukurasa mpya huu wa katavi limited company ni sehemu ya kujifunza ujuzi mbali mbali hasa katika suala Zima la ujasriamali na njia nyingine za kujikita ili kujikwamua na janga la umaskini

24/11/2020

.











Huu ndio muonekano wa mjini wetu Mpanda kwa sasa
22/11/2020

Huu ndio muonekano wa mjini wetu Mpanda kwa sasa

21/11/2020

Fursa Nyingi zinapatikana mkoa wa katavi hasa katika suala Zima la biashara ambalo ndio msingi mkuu wa maisha yetu k**a vijana niulize namna ya kujikomboa na kuwa mjasiliamali mdogo mdogo na kupewa namna mbali mbali katika kujipatia kipato jicho langu linaiona Mpanda katavi kuwa itakuja kuwa mkoa wa kibiashara kwani kwa sasa maendeleo mengi yamekwisha Anza na mliopo mmesha ona tayari ewe mkazi wa katavi kuimbia katavi ni k**a kukimbia fursa usidanganywe na mtu kuwa mkoa flani ndo Kuna pesa apana pesa iko mahali popote ni ujanja mdogo mdogo tu na namna ya kujipatia kipato fursa huwezi kuiona kwa kuwa una masterz au ma degree ya vyeti apana Bali inapatikana kwa njia kutembelea maeneo mbali na kuona wengine wanafanya nini katika suala Zima la kuingiza kipato hivyo karibuni Mpanda katavi katika uwekezaji

Address

Mpanda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Katavi Entrepreneurs Limited Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share