Mufarm - Ufugaji nyuki

Mufarm - Ufugaji nyuki mufarm- beekeping is world wide page that inspire people to keep bees and show how they can benefits from them.

VIVUTIO VYA KIASILI VYA  KUWAITA NYUKI KUINGIA KWENYE MZINGAK**a unafaham vivutio vingine kulingana na sehemu unayoishi ...
22/10/2022

VIVUTIO VYA KIASILI VYA KUWAITA NYUKI KUINGIA KWENYE MZINGA
K**a unafaham vivutio vingine kulingana na sehemu unayoishi tunaomba utujulishe Kwa kucomment.

HATUA ZA KUFUATA KUANZA KUFUGA NYUKI
21/10/2022

HATUA ZA KUFUATA KUANZA KUFUGA NYUKI

HATUA ZA KUANZA UFUGAJI NYUKI BILA KUA NA MTAJI (PESA)1.Tafuta eneo salama la ufugaji, ambalo linaweza kua shamba lako a...
21/07/2022

HATUA ZA KUANZA UFUGAJI NYUKI BILA KUA NA MTAJI (PESA)

1.Tafuta eneo salama la ufugaji, ambalo linaweza kua shamba lako au eneo la kuazima Kwa makubaliano.

2.Tengeneza mizinga rahisi hasa ya kiasili K**a mizinga ya magogo au ya vyungu

3. Tumia vivutio vya asili k**a mchaichai na mdalasini.

4. Tengeneza manzuki rahisi K**a ya kuning'i iza kwenye miti au kujenga kichanja au kibanda ambaco si cha gharama kulingana na uwezo wako.

5.Tega mizinga yako.

Ufuatiliaj utàanza ili kuahakikisha nyuki wanaingia kwenye mzinga, na unafaham tarehe au siku walipo ingia ili ukadiriaji wa Lin utàanza kuvuna asali na mazao mengine unaweza kuanza .

Kwamaelezo Zaid fuatilia video hii👇👇👇👇 kwenye ukurasa wetu wa YouTube na usisite kusubscribe ili kuweza kupata elimu na taarifa zinazohisu ufugaji Nyuki.

video hii utajifunza baadhi ya mbinu za kuanzisha Ufugaji nyuki bila kua na pesaTàfadhali tunaomba SUBSCRIBE ...

Karibu katika ukurasa wetu rasmi wa ufugaji nyuki. Hapa utapata1.Elimu juu ya ufugaji nyuki2.Masoko ya mazao ya Nyuki3.H...
09/07/2022

Karibu katika ukurasa wetu rasmi wa ufugaji nyuki. Hapa utapata
1.Elimu juu ya ufugaji nyuki
2.Masoko ya mazao ya Nyuki
3.Huduma ya kufanyiwa ufugaji
4.Jinsi ya kuongeza thamani ya mazao ya nyuki

Karibu.

Address

Misongeni
Muheza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mufarm - Ufugaji nyuki posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share