Wauza Mawazo ya Biashara

Wauza   Mawazo   ya   Biashara Tunauza mawazo ya biashara, kuanzia biashara ndogondogo, biashara ya kati na biashara kubwa.

Habari !Karibuni watu wote wapenda biashara. Napenda kuwakaribisha katika kujua na kutambua fursa zilizopo maeneo ya Tan...
20/08/2020

Habari !

Karibuni watu wote wapenda biashara. Napenda kuwakaribisha katika kujua na kutambua fursa zilizopo maeneo ya Tanzania na kuzichangamkia kwa gharama ndogo na nafuu sana.

Gharama za wazo la biashara ni Tsh.10,000/= tu.

Tuma kwenda namba M-Pesa: 0766 466 892.

Utapokea wazo lako la biashara ndani ya muda mfupi baada ya kufanya malipo.

Asante.

Tunauza mawazo ya biashara, kuanzia biashara ndogondogo, biashara ya kati na biashara kubwa.

09/04/2020

Habari Tanzania!

Karibu ujipatie wazo lako la biashara safi kabisa kwa gharama nafuu kwa biashara ndogo, biashara saizi ya kati na biashara kubwa.

Gharama ya wazo ni Tsh. 3,500/= tu. Pesa hiyo itumwe kupitia namba ya mpokeaji 0766 466 892.

Utaratibu

Baada ya kukamilisha muamala wako taja eneo ulilopo, mtaji wako na muda utakaopenda kuanza kulifanyia kazi hilo wazo.

Karibu.

26/03/2019

Jipatie wazo la biashara la bei nafuu ujiajiri kuanzia sasa.
Bei ya wazo ni kuanzia Tsh.5,000 na kuendelea.
Karibuni

06/11/2018

Je wajua majivu ya mkaa au kuni ni biashara nzuri yenye mtaji mdogo na yenye kukufanya ukatengeza kipato chako!.
Lipia Tsh.5,000/= tu kwa huduma ya wazo la biashara ufanye biashara popote pale kianzio chako cha mtaji kikiwa majivu.
Lipia fedha yako kupitia 0766 466 892.

Jiajiri Jiajiri
31/03/2018

Jiajiri Jiajiri

31/03/2018

Jiajiri sasa kwa mtaji mdogo tu namaanisha kuanzia Tsh. 5,000.
Gharama za huduma ni Tsh.1,000.
Vigezo na masharti kizingatiwa.
Njoo ujiajiri

14/10/2017

Nafasi za kazi na kujiajiri, Jamas Enterprises mawakala na wanunuzi wa bidhaa zao za nguo aina zote, mikoba, viatu, pochi n.k
1. Sharti la biashara unapaswa kutuma namba yako ili uunganishwe kwenye group la what's app.
2. Uwe tayari kuwasiliana na kampuni wakati wa kutambua oda yako.
Kwa aliye tayari atume namba zake na atapokea utaratibu wa biashara.
"Together we can make it"
Jamas Enterprises always is sweet.

14/12/2016

Ofa Ofa Ofa
WAUZA MAWAZO YA BIASHARA inatoa punguzo la kujipatia wazo la biashara kwa msimu huu wa siku kuu.
Wazo lolote la kibiashara litatolewa kwa Tsh. 1,000/=.
Karibuni sana.

01/11/2016

Habari Tanzania
Kwa wale wenye uhitaji wa biashara ndogo ndogo, biashara za kati na biashara kubwa tafadhali wasiliana na WAUZA MAWAZO YA BIASHARA ili ufanikiwe lengo lako.

04/09/2016

SASA JIPATIE WAZO LAKO LA KIBIASHARA TOKA WAUZA MAWAZO YA BIASHARA

Address

Mwanza

Telephone

766466892

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wauza Mawazo ya Biashara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share