Idrissa Mshana

Idrissa Mshana Wifiworld

01/12/2025

*KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI NA UGUMBA (Fallopian tube blockage)*

Habari.

Kwa majina naitwa Mshana, ninasaidia wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya kwa kutumia mimea asilia.

Ninatibu magonjwa zaid ya 30 kupitia mimea na vyakula asilia. Karibu.

Kwa siku ya leo ningependa kuzungumzia moja ya ugonjwa hatari sana unaowakumba zaid wanawake na kupelekea Ugumba na mbaya zaid ni ngumu na inawachukua muda wanawake wengi kuja kujua wanachangamoto hii, nayo ni KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI ( FALLOPIAN TUBE BLOCKAGE).

Awali ya yote tuungalie kwa muhtasari mfumk wa uzazi wa Mwanamke ( Female Reproductive System).

Mfumo wa uzazi wa mwanamke umeundwa kwa vitu 3 O***y, Uterus (fuko la uzazi) na mirija ya falopia ( Fallopin Tube).

O***y zipo 2 ( hizi zinatunza mayai na kuyaruhusu yatoke kwa muda maalum kwenda kurutubishwa na manii). O***y zimeunganishwa na uterus kwa Mirija ya fallopia. Kwenye uterus ndipo Mimba inapokaa na kukua

Kukitokea changamoto yoyote katika vitu hivyo 3 basi uwezekano wa kupata mimba unakuwa.

Leo tuzungumzie Changamoto ya kuziba au uvimbe katika mirija ya fallopio, tutangalia chanzo chake, dalili zake, athari zake na pia matibabu yake.

Kwa mujibu wa jarida la Medical News Today " Uvimbe au kuziba kwa mirija ya uzazi ni hali ambayo mirija hiyo inakiwa na kizuizi au kuziba. Kuziba kwa mirija hii huweza kusababisha yai kushindwa kukutana na mbegu za mwanaume wakati wa kufanya tendo la ndoa hali ambayo inaweza kuathiri upataji mimba wa mwanamke na kupelekea UGUMBA.

Mwaka 2023Madaktari kutoka Mayo Clinic walisema " Mara nyingi ni ngumu kwa mwanamke kutambua k**a mirija hii imeziba kwani huwa inakawaida ya kujifunga na kujifungua".
Mhanga anaweza kujua k**a anatatizo lwa kufanya X - ray, Ultrasound na Oparesheni.

*VISABABISHI VINAVYOPELEKEA MIRIJA YA UZAZI KUZIBA*

*_Kwa mujibu wa (Mayo Clinic, 2023; NIH, 2022)_*
Vifuatavyo ni visababishi vya kuziba kwa mirija ya UZAIZ:⤵️⤵️⤵️

1.*MAAMBUKIZI YA MUDA MREFU KATIKA VIA VYA UZAZI (PID)*

2.*KUTU

Shallom mtu wangu wa nguvu....Bado devices zipo, nakukumbusha tu kuwa hizi devices internet speed yake ni UNLIMITED... y...
21/02/2024

Shallom mtu wangu wa nguvu....

Bado devices zipo, nakukumbusha tu kuwa hizi devices internet speed yake ni UNLIMITED... yaani bila kikomooooo....

Kuzipata ni buree kabisaaaaaa...unachotakiwa ni kuwa tu na certificate ya TIN number na kitambulisho kimoja kati ya vifuatavyo, Cha Nida, leseni, cha mpiga kura au Passport ya kusafiriaa..

Unachelewajee kufurahia devices hizi zenye vifurushi rafiki kwa kila mtanzaniaa...

Njoi whatsap saivi nikupe maelekezo jinsi ya kuzipata kwa kubofya link hii https://wa.me/message/XA4V7TPW3NR7J1...

WIFIWORLD for sustainable internet services

Chukua madini haya MTU wanguu..Spidi ya internet katika devices zetu no unlimite,😨😨😨😨...Najua utajiulizaa...unlimited ki...
10/02/2024

Chukua madini haya MTU wanguu..

Spidi ya internet katika devices zetu no unlimite,😨😨😨😨...

Najua utajiulizaa...unlimited kivipi Mr Mshanaaa!!!!!!!!!...

Basi kaa kwa kutulia bosi wangu..

Unlimited ina maanisha kuwa huweki bandoo kabisaa na spidi yake inaanzia 30mbps , ....

30mbps ndio nini????...

Utajiulizaaa...

Hiyo ni spidi ya mb 30 kwa sekundee....yaan kitu chenye mb 30 unaweza kudownload kwa sekunde moja tu,😱😱😱😱😱😱😱...

Tunampka spidi ya 350 mb kwa sekundee kulingana na kifurushii..

Hizi devices zina thamani zaid ya 900,000 ila mimi nakupatiaa BUREEEEEE!!!!!!..

Wahi mtu wangu kwani watu wanazigombania mnooo...

Kuzipata nipigie sasa hivi kwa namba hii 0750513098 au njoo whatsap kwa kubonyeza linki hii https://wa.me/message/XA4V7TPW3NR7J1, ujanja ni kuwahi..

Mshana WIFI WORLD

Jeh huyu ni wewe.!!!!!!!!!!Umekuwa unapitia changamoto Katika internet na vifurushi K**a vileee internet connection kusu...
07/02/2024

Jeh huyu ni wewe.!!!!!!!!!!

Umekuwa unapitia changamoto Katika internet na vifurushi K**a vileee internet connection kusumbua na Muda mwengne Kukata kabisaa kitu ambacho kinapelekea kushindwa kumaliza na kutuma kazi zako zinazohitaji uhakika WA internet connection??

Au umekuwa unajiunga vifurushi vya wiki kila Siku sababu MB hazitoshi kukidhi mahktaji na huku gharama Za vifurushi zikizidi kupanda na kuabdilila kila Mara na kupelkea kuingia gharama Za ziada ili ukamilishe kazi zako Au hata kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki online ??

K**a unapitia changamoto hiyoo Basi relax Kwan Muda sio mrefu nakupatia solituon ya kudumu ya changamoto hiyo, si utafurahi eeeh 😊😊😊😊😊....

Nakuletea devices zenye 5G ns 4G katoka VODACOM zenye internet spid kubwa kuanzia 30Mbps had 120 Mbps. Internet ya Uhakika ambayo haiathiriwi kabsa Hata na madabiliko ya hali ya hewaa... Yaan internet spid haishuki kabisa mtu wangu WA nguvuuu..

Kubwa zaid ni kuwa devices hizi zina thamani ya zaidi ya 900,000 ilaa Mimi nakupatia BUREE KABISAAAAAAAAA na zimebaki chachee kwani wengi wameshazichukua..

K**a inahitajika kuwa miongonj mwa Watu wachache ambao hawasumbuliwi tena ns changamoto Za internet Basi gusa link https://wa.me/message/XA4V7TPW3NR7J1 Hiyo itakuleta moja kwa moja Whatsap kwa maelezo zaid Au piga simu kwa namba hii 0750513098

Nakukumbushia kuwa tupo ulimwengu WA teknolojia na internet Hivho unahitaji internet ya uhakika na ni haki yakoo..

PART 3." Natamani ningekuwa na dimpozi k**a hizo zako" nilimwambia, kufanya ajaribu kutabassamu, Na kweli akatabasamu..H...
12/10/2023

PART 3.

" Natamani ningekuwa na dimpozi k**a hizo zako" nilimwambia, kufanya ajaribu kutabassamu,

Na kweli akatabasamu..

Hakika tabasamu lake lilikuwa zuri Sanaa ...

Na linaweza kumfanya mtu mwenyewe huzuni akafarijika.....

Ni mithili ya mwanga katika gizaa...

Sikuwahi kuona kabla tabasamu k**a lile...

Nami nikatamani, walau ningekuwa na tabasamu k**a lile...

" Asante ma, umenifanya nimetabasamu kwa mara ya kwanza baada ya miezi 2" akajibu

PART 2.Tukiwa tunaendelea na kusheherekea sikukuu ya Christmas, nikamwona msichana mrembo Sana mwenye ngozi yenye rangi ...
11/10/2023

PART 2.

Tukiwa tunaendelea na kusheherekea sikukuu ya Christmas, nikamwona msichana mrembo Sana mwenye ngozi yenye rangi ya maji ya kunde, na mrefu wa wastani akinisogelea taratibu..

Sura yake haikuwa ngeni kwangu, ni kana kwamba tuliwahi kuonana kipindi fulani ilaa sikumbuki ni lini na wapi tulipokutana!!!!!..

"Shikamoo ma" , akanisalimia kwa heshima Sana huku amepiga goti chini.

" Marahaba" nikaitika,

Kisha nikamuuliza kuhusu dada yake , kwani alikuwa anafanana Sana na rafiki zangu wa muda mrefu...

Nilikuwa bado namfananisha, ndipo akanijitambulisha na nikagundua kumbe ni Katka binamu zangu..

Katika kuongea nae nikamwona amevaa Pete ya ndoa, nikampongeza kwa kupata ndoa...

Ilaa tabasamu lake halikuwa k**a nilivyotarajia

Nilikuwa kijijini Katka nyumba yetu ya familia wakati wa sharehe na shamrashamra za sikukuu ya Christmas, na ndicho kipi...
10/10/2023

Nilikuwa kijijini Katka nyumba yetu ya familia wakati wa sharehe na shamrashamra za sikukuu ya Christmas, na ndicho kipindi Pekee ambacho wanafamilia wote tunakutana. Hakika ni kipindi cha furaha Sana.

Nikifanya kazi k**a Mshauri wa Mahusiano,nikitoa huduma kwa ushauri kwa wanandoa pamoja na kutoa semina maeneo mbali mbali kuhusu ndoa na mahusiano.

Ujumbe wangu ulikuwa ni " haijalishi mangapi unapitia katika ndoa yako, hakikisha unaipambania ndoa yako kwa Hali yoyote Ile" . Ilaa baada ya kuonana na Aliya na mumewe ikanibidi nifikirie mara mbili mbili k**a ujumbe wangu huo una uhalisia au laa!!!!!!!

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
08/10/2023

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

18/08/2023

Address

Morogoro
Mzumbe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Idrissa Mshana posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share