ABAS JAMES

Call Website

ABAS JAMES Provision of finance sarvices to citizens,education related to busness,capital increanent,wearth and how to succed in your life and live better life,money

Thank you God for this day it greatest day in my life unforgettable.
18/10/2017

Thank you God for this day it greatest day in my life unforgettable.

06/10/2017

NIDHAMMU YA PESA.
Nidhamu ni hali ya kupanga au kuweka malengo katika jambo fulani ili uweze kufanikiwa kwalo.
Ili uweze kufanikiwa maishani mwako kuwa na nidhamu ktk matumizi ya pesa hapo ndipo mipango yako itafanikiwa,jinsi ya kuwa na nidhamu ya pesa.
BAJETI.
Weka bajeti yako vizuri mfano ya matumizi yako ya wiki ni kiasi gani epuka kununua nunua vitu bila mpango.
MALENGO
Weka malengo madhubuti ili kufikia mipango yako ya badae mfano mwezi ujao nawaza kufanya jambo Fulani hakikisha unajitaidi kulifikia.
TUNZA KUMBUKUMBU.
Epuka kufanya mambo kienyeji hakikisha mambo yako yanawekwa katika maandishi ili uweze kuyakumbuka mfano umepanga kuwa mwezi ujao ntafanya jambo fulani liandae .
RATIBA.
Tenga muda maalumu wa kutimiza malengo yako ili uweze fanikiiwa ktk matumizi yako ya pesa .
Nidhamu ktk jambo hili nw kufuata mambo hayo hakika mafanikio yako yatakuwa mikononi mwako tumia kipato chako ulichonacho kwa nidhamu ndipo utakapofanikiwa maishani
NIDHAMU CHANZO CHA MAFANIKIO.

02/09/2017

karibun kwa page yangu

Address

P. O BOX 37 NZEGA
Tabora
077

Telephone

0757808822

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ABAS JAMES posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share