Handeni Pride Business point

Handeni Pride Business point Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Handeni Pride Business point, Business service, Tanga, Tanga.

05/05/2023

Fahamu sababu zinazoweza kupelekea kufa kwa biashara yako.

- HAUNA MIPANGO YA BIASHARA(Business Plan)
Hujui umetoka wapi, unaenda wapi na utafikaje, hauna mpango wowote bali unafanya biashara kwa mazoea ni unaamka tu na kuuza bidhaa/huduma, wateja wakinunua ni sawa na hata wasiponunua wewe hauna mpango.Biashara Bila Mipango Ni Ishara Ya Kwamba Sio Muda Mrefu Biashara Yako Inakaribia Kufa.

- HAUELEWI TABIA ZA WATEJA WAKO wateja wanatofautiana hivyo ni lazima uwaelewe vizuri wateja wako kuanzia mahitaji yao na hata tabia zao za manunuzi. Mfano; Unauza bidhaa Masaki halafu wateja wengi wanataka kukulipa kwa kadi za benki lakini wewe hauna njia ya kupokea malipo kwa benki matokeo yake unawalazimisha wakulipe kwa simu(mobile money), lazima utashindwa tu na biashara itafeli.

- MAHESABU MABOVU YA MZIGO(INVENTORY)
Hauna hesabu nzuri za biashara yako. Haufahamu mzigo wako kiasi gani uliingia, kiasi gani umeuza, kiasi gani umeingia hasara na kiasi gani umepata Faida.

- KUANZA KUITANUA BIASHARA MAPEMA; mfano, unauza nguo hata bado biashara haijachangaya tayari umehamia kwenye furniture na bidhaa zingine, kwa ufupi unakuwa na papara, kitu ambacho hakitakiwi kwenye biashara.Focus kwanza na kitu cha aina moja.

- KUKOSA MAUZO; biashara yako wateja wanaanza kupungua ila wewe haushtuki wala kuchukua hatua za kuwarudisha au kujua shida nini mwisho wa siku unakosa mauzo, unakosa kodi ya duka, unakosa mtaji halafu mwisho biashara inakufa.

- UNATAKA KUFANYA KILA KITU WEWE; wewe ndio unajua na kufanya kila kitu kwenye biashara yako, hata ikitokea unaumwa biashara inasimama, kwa style hii biashara hiyo kufa ni swala la muda tu.

All you need about business available
05/05/2023

All you need about business available

MAAJABU BAADA YA MTOTO KUFARIKI DUNIA NA KUGEUKA JIWE HUKO MARAWananchi wa mtaa wa Mgaranjabo kata ya Buhare katika Mani...
05/05/2023

MAAJABU BAADA YA MTOTO KUFARIKI DUNIA NA KUGEUKA JIWE HUKO MARA

Wananchi wa mtaa wa Mgaranjabo kata ya Buhare katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara wamekumbwa na sintofahamu baada ya mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja kufariki dunia na kugeuka jiwe.

Address

Tanga
Tanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Handeni Pride Business point posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share