29/07/2026
Tulikuwa na wakati wa kipekee wa kujifunza kutoka kwa DIGITAL IMPORT SKILLS ACADEMY na Loibulu Loponu ,kushirikishana uzoefu na .kupata maarifa yanayoweza kubadilisha biashara. 🚀
Asante kwa kila aliyeshiriki STRONG WEALTH EXPERIENCE. Hii ni zaidi ya semina; ni jukwaa la kujenga wafanyabiashara wenye uwezo wa kutengeneza matokeo halisi.
K**a hukufanikiwa kushiriki safari hii, usijali. Fursa nyingine zinakuja.
YEBEMBA SOLUTIONS
RIGHT EXPERT. RIGHT SYSTEM. REAL RESULTS.