BEL UP Community

BEL UP Community English Confidence Coach for Business Swahili People online

Unajiamini kiasi gani unapotaja neno "INCENTIVE" mbele ya washirika wako wa biashara? 🤔Watu wengi hukwama hapa, lakini b...
27/04/2026

Unajiamini kiasi gani unapotaja neno "INCENTIVE" mbele ya washirika wako wa biashara? 🤔

Watu wengi hukwama hapa, lakini baada ya post hii, utakuwa bingwa! Katika BEL UP (Business English Level Up), tunajua kuwa matamshi sahihi ndiyo siri ya ujasiri kwa mkurugenzi au mfanyabiashara yeyote wa kimataifa

Kwanini upate tabu ya kutamka maneno kwa shaka? Programu yetu ya Master Class imesaidia watu wengi, kuanzia wakurugenzi hadi madereva wa masafa marefu, kujenga ujasiri ndani ya siku 30.

Jiunge na community yetu kwa kunitumia neno "Bel Up" au comment changamoto yako inayokusumbua wakati unaongea kiengereza tukusaidie.

Unajiamini kiasi gani unapotaja neno "Schedule" mbele ya washirika wako wa biashara? 🤔Watu wengi hukwama hapa, lakini ba...
26/04/2026

Unajiamini kiasi gani unapotaja neno "Schedule" mbele ya washirika wako wa biashara? 🤔

Watu wengi hukwama hapa, lakini baada ya post hii, utakuwa bingwa! Katika BEL UP (Business English Level Up), tunajua kuwa matamshi sahihi ndiyo siri ya ujasiri kwa mkurugenzi au mfanyabiashara yeyote wa kimataifa.

🔹 Neno: SCHEDULE
🔹 Matamshi: She-dyul (Sio 'Sheduli'!)
🔹 Maana: Ratiba ya kazi au mipango yako.
🔹 Mfano: "I have a very tight schedule today." (Nina ratiba ya kubana sana leo).

Kwanini upate tabu ya kutamka maneno kwa shaka? Programu yetu ya Master Class imesaidia watu wengi, kuanzia wakurugenzi hadi madereva wa masafa marefu, kujenga ujasiri ndani ya siku 30.

Jiunge na community yetu kwa kunitumia neno "Bel Up" au comment changamoto yako inayokusumbua wakati unaongea kiengereza tukusaidie.

Address

Zanzibar City

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BEL UP Community posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share