Kilimo na Ufugaji

Kilimo na Ufugaji Wauzaji wa vifaa mbalimbali vya kilimo na ufugaji. Tunapatikana Zanzibar. Tunatuma Dar na Mikoani kw

HabariOffer kwa mwezi wa July;Full automatic incubator ya mayai 192 Kutoka 460,000/- sasa ni 400,000/- tu...Zimebaki cha...
11/07/2023

Habari
Offer kwa mwezi wa July;
Full automatic incubator ya mayai 192
Kutoka 460,000/- sasa ni 400,000/- tu...
Zimebaki chache, wahi mapema 🙂

*Full automatic (inageuza mayai wenyewe).
*Ina mfumo wa kumurikia mayai kujua k**a yana mbegu au laa.
*Inatunza joto hadi masaa manne baada ya umeme kukatika.
*Ina uwezo wa kutotoleshea mayai ya kware, njiwa, kuku, bata, n.k
*Inanjia mbili za umeme, wa kawaida AC 220V, na umeme wa jua/ solar DC 12v 80W (au battery ya gari)
*Ina uwezo wa kutotolesha kwa asilimia 90%.

Kwa muhitaji au maswali;
Whatsapp number: +255777222788

Habari,kwa mahitaji ya incubators imara na zenye ufanisi wa hali ya juu kwa bei rahisi, usisite kuwasiliana nasi kwa nam...
04/10/2022

Habari,
kwa mahitaji ya incubators imara na zenye ufanisi wa hali ya juu kwa bei rahisi, usisite kuwasiliana nasi kwa namba +255777222788 (Whatsapp) au inbox..
Bei ya offer ni kwa mwezi wa October tu ni 450,000/- 👇

Karibun mjipatie aina mbali mbali za NI**LE DRINKERS kwa ufugaji bora na kisasa wa kuku na mabata. NI**LE DRINKERS husai...
11/02/2022

Karibun mjipatie aina mbali mbali za NI**LE DRINKERS kwa ufugaji bora na kisasa wa kuku na mabata. NI**LE DRINKERS husaidia kuleta ufanisi katika kuhudumia mifugo, pamoja na kuweka mazingira mazuri ya kupunguza magonjwa ya kuambukiza kwa mifugo yako.

Bei ni kuanzia TSh 500 mpk TSh 2,500.
Malipo ni baada ya kupata mzigo.

Wasiliana nasi kwa
Simu 0777222788
Whatsapp 0777222788 au 0765819919

______________________________________________________

 #2020          Mzigo unategemewa kuwasili jijini Mwanza siku ya Jumann ya Dec 28. Weka oda yako mapema kwa kupata offer...
21/12/2021

#2020
Mzigo unategemewa kuwasili jijini Mwanza siku ya Jumann ya Dec 28. Weka oda yako mapema kwa kupata offer ya usafirishaji bure. Kwa wanaohitaji rejareja pia zinapatikana.
Malipo ni baada ya kupata mzigo wako.

Simu 0765819919

16/07/2021
20/04/2021

Tunauza ni**le drinkers kwa bei nafuu. Ni**le za cup: Mfuko ni Tsh 100,000 (50pcs). Ni**le za orange: Mfuko ni Tsh 110,000 (100pcs) Ni**les nyeupe: Mfuko ni Tsh 125,000 (100pcs) Ni**les ndogo nyekundu: Mfuko ni Tsh 50,000 (100pcs) Napatikan Zanzibar. Kwa wale wa Dar na Mikoani tunasafirisha kwa makubaliano na mteja. Karibuni sana. Simu/Whatsapp: +255765819919
KWA WATEJA WA JUMLA WA JIJI LA MWANZA TUTAKUWA NA OFFER MAALUM YA USAFIRI MPAKA KUFIKIA TAREHE 28 DEC 2021.

KARIBUNI

Mzigo mpya wa Ni**le Drinkers! 💥🗯💫Epuka kutumia muda mwingi kubadili maji mara kwa mara katika banda lako kwa kutumia vi...
04/02/2021

Mzigo mpya wa Ni**le Drinkers! 💥🗯💫
Epuka kutumia muda mwingi kubadili maji mara kwa mara katika banda lako kwa kutumia vifaa ya kisasa ya Ni**le drinkers.
Vifaa vya ni**le drinkers husaidia (1) Kupunguza uwezekano wa kuchafuka kwa maji, (2) Kuzuia umwagikaji wa maji ovyo kwenye banda lako, na kusaidia kuweka hali ya ukavu katika banda, na (3) Husaidia kupunguza muda unaotumia kuhudumia mifugo yako.
Hii yote kwa ujumla hupelekea kuzuia maradhi mbalimbali k**a homa za matumbo na kuharisha kwa mifugo yako.
Bei ni nafuu, tafadhali wasiliana nasi kupitia simu number 0625305630 au whatsapp number 255626730873 (https://wa.me/255626730873) kwa kuweka order yako. Karibuni.

Habari wadau. Mzigo wa ni**les drinkers kwa ajili ya kuku, bata nk umeingia. Kwa anayehitaji naomba tuwasiliane kwa namb...
19/10/2020

Habari wadau. Mzigo wa ni**les drinkers kwa ajili ya kuku, bata nk umeingia. Kwa anayehitaji naomba tuwasiliane kwa nambari ya simu au whatsapp 0625630729.
Karibuni

Address

Zanzibar

Telephone

+255765819919

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilimo na Ufugaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share