PESA IDEAS

PESA IDEAS Fursa za Uwekezaji, Mitonyo ya pesa, Biashara Uchumi, Ideas , Kujiajiri/Kuajiri

Hello What's Up🖐️🤩..Naitwa  STAR msanii wa muzikii,  napatikana kule YouTube...Nimeachilia kibao changu matata kwa jina ...
09/01/2024

Hello What's Up🖐️🤩..
Naitwa STAR msanii wa muzikii, napatikana kule YouTube...
Nimeachilia kibao changu matata kwa jina la AROSTO mwondoko wa Amapiano

Ebwana🗣️ Weeee.. your My family hivyo nakualika kuusikiliza muziki wangu na usisite kushare & subscribing. Saaantee see Yu 🤗

Club banger music video for Arosto song by Kaiyan star ⭐

Je UnaHabari kuwa🚨!Bei ya chakula hasaNafaka itapanda mara dufu mwakani?Hii ni kutokana na kusua sua Mvua za Vuli maeneo...
29/10/2022

Je UnaHabari kuwa🚨!

Bei ya chakula hasa
Nafaka itapanda mara dufu mwakani?

Hii ni kutokana na kusua sua Mvua za Vuli maeneo mbalimbali nchini!

Je Unawezaje?Kuichangamkia fursa hii kwa kujiingiza katika kilimo cha umwagiliaji kwa kutoboa mwamba (drilling holes)..
Chagua eneo husika, chagua mazao, Kadiria gharama na faida kisha wasiliana na wataalamu, then anza.

mvua bado hazitabiriki na uhitaji wa chakula unazidi kupanda siku hadi siku

Kwa fursa zaidi usisite kutufuatilia kupitia PESA IDEAS na kushambaza (kushare) kwa wengine
ideas

ideas

Je Wajiua fursa ya Kuuza mishikaki ya nyama choma?  Unaweza kuanza kwa mtaji mdogo au wa kati k**a 30k to 20k na Kuzalis...
28/10/2022

Je Wajiua fursa ya Kuuza mishikaki ya nyama choma?
Unaweza kuanza kwa mtaji mdogo au wa kati k**a 30k to 20k na Kuzalisha faida mara mbili yake....
Je ungependa kufahamu zaidi kuhusu mbinu za uendeshaji kufaida na biashara zingine,
Baas usisite kutufuatilia
Kupitia ukurasa huu PESA IDEAS

Je Ulianza biashara yako chanzo kikuu cha mtaji kikiwa ni kipi? au Unategemea chanzo gani  kikuu cha mtaji wa kuanzisha ...
03/09/2022

Je Ulianza biashara yako chanzo kikuu cha mtaji kikiwa ni kipi? au
Unategemea chanzo gani kikuu cha mtaji wa kuanzisha biashara?
1). Mkopo
2). Mshahara
3). Kujiwekezea akiba
4). Msaada wa Ndugu rafiki familia
5). Hisa za kikundi
6). Au ipi nyinginezo?

Tujuze hapa kwa msaada wa kila mmoja afahamu

Happy Revolution Day Mapinduzi Tukufu58 years
12/01/2022

Happy Revolution Day
Mapinduzi Tukufu
58 years

⭐ Fursa Biashara ya  , kwa kukodisha vitu⛱️ na   cha Mishikaki🍢🍡, Pweza  & bidhaa za baridi🍹 Eneo la beach ni zuri kwa b...
23/11/2021

⭐ Fursa Biashara ya , kwa kukodisha vitu⛱️ na cha Mishikaki🍢🍡, Pweza & bidhaa za baridi🍹

Eneo la beach ni zuri kwa biashara ndogondogo kwani Wanaotoka Watu (wateja) wengi hutembelea wakiwa pesa ya kutosha kuvinjari hivyo biashara inatoka.
☀️ Kufanya biashara ya kukodisha ⛱️ kwa ajili ya watu kujikinga na jua wanapo pumzika beach, waweza kuichimbia kwenye fukwe na kukodisha kwa masaa, haswa kwa kipindi hiki cha joto la Dar.
☀️ Kukodisha vitambaa vizito k**a mkeka au kigodoro kidogo kwa ajili ya kujipumzisha kulalia wakiwa na miamvuli ya jua
☀️Waweza wauzia ni vinywaji vya baridi k**a Juice, ice cream na soda
☀️Na nyakati za jioni waweza fanya k**a mgahawa na kuwauzia vyakula vidogovidogo k**a mchuzi wa pweza
☀️ Kuchoma ya nyama yenye ladha nzuri, kuvutia harufu ya kutamanisha
☀️ Kukodisha Maboya na life jacket na hata nguo za kuogelea Ambazo zimekuwa zikifanyika sana.

Waweza vipanga vitanda hivyo vya beach na miamvuli katika eneo kubwa na kutengeneza hata ka restaurant (Kamgahawa kajioni) na kuwasubilia wajekukodishiwa kwa pesa.
☀️Maeneo k**a ya coco beach, jangwani, Kunduchi na kawe ni mazuri zaidi.
Tembelea picha cha chini kwa Mwangaza zaidi

Like page yetu zaidi
Comment share Alika Ndugu jamaa PESA IDEAS

⭐ Fursa kwa       Kuongeza Wigo wa Kuuza Vyakula kwa Kupikia Order Mama lishe wanaweza Ongeza wigo wa wateja kwa kupika ...
13/11/2021

⭐ Fursa kwa Kuongeza Wigo wa Kuuza Vyakula kwa Kupikia Order

Mama lishe wanaweza Ongeza wigo wa wateja kwa kupika vyakula kwa order za Majumbani haswa kwa wale wenye uhitaji wa chakula kingi k**a cha familia na kuna Changamoto ya Upikaji

-Walio Mabarchela wanao ishi pamoja ni wahitaji wazuri wa chakula kingi na wakiwa na Changamoto ya Upikaji Mamalishe anaweza chukua Order za kuwapikia kwa siku au wiki chakula Sufuria nzima
-Watu walio busy na majukumu, kwani waweza tafuta Order za kuwapikia chakula hata cha jioni na wakirudi toka kazini kukichukua Sufuria nzima kulingana na familia yake
-Wasio weza kupika chakula fulani, labda pilau hii ni fursa kwa Mamalishe kutafuta order za Majumbani kwa siku husika kupika chakula maalum au sufuria zima kwa ajili ya familia husika
-Pia wapo wanawake wasio weza kupika na zipo siku ambazo hutembelewa na wageni hivyo kwa mama nitilie anaweza jipatia nafasi ya kumpikia mteja huyo Sufuria nzima na vikolombwezo vyote na kumsafirisha hadi kwake nyumbani

-Mama lishe lazima atafute order majumbani kwa watu wenye changamoto ya Upishi na kuweza kuwapikia chakula cha Order maalum kwa familia.
-Usafi na Unadhifu wa Upishi na Mazingira ya Upikaji ili kuwavutia hao wateja wapya
-Kuzingatia Upishi wa Chakula kitamu, kizuri kitawavutia na kukiondoa ladha ladha ya cha mgahawani kiwe k**a cha Nyumbani, hata mteja wako akiangalia Familia ake (mume) wasijue kuwa ni cha Mamalishe

Ni vyema kujitega katika jamii ambayo itakuwa na uvuvi, Ugumu, changamoto ya Upishi na ikiwa haina wafanyakazi mfano kwenye kota za Mabarchela, Watulio busy na kazi (chelewa kurudi), familia za Ushuani, kwa wadada (MaSister do).

*Pia waweza pika kwa ajili ya shughuli, sherehe like viparty (Birthday)sikuuu za mwezi wa December
*Pia kupitia mitandao ya kijamii kuwa unapika vyakula kwa order za familia kulingana na Eneo husika mfano ( Kimara mamalishe, Kawe Mpishi, Mbezi beach Mamalishe) kupitia (FB WhatsApp Insta) kwa Kiwango cha Sufuria nzima na mboga.
Ufafanuzi zaidi Comment chini nitajibu
NB; (Pole kwa yeyote k**a kuna lugha imekuudhi iliyotumia au kukulenga Yote ni katika kuinuana kiuchumi kwa mawazo ya tija)
Like page yetu zaidi
Comment share Alika Ndugu jamaa na washirikishe mawazo.
Shukurani. PESA IDEAS

⭐ Biashara ya Kufanya Kwa  , Waliobomolewa Kulingana Na Joto la DSM sasa. Kutengeneza Juisi za Matunda na kutembea nazo ...
11/11/2021

⭐ Biashara ya Kufanya Kwa , Waliobomolewa Kulingana Na Joto la DSM sasa.

Kutengeneza Juisi za Matunda na kutembea nazo Kandokando ya Barabara Ukiwa na Usafiri wa Baiskeli ya Miguu mitatu na jokofu la kuhifadhia Baridi.

Tengeneza Juice pendwa zenye ladha tofauti za kuvutia, kisha Tumia barafu kuongeza Ubaridi na Kuwa Nadhifu (Usafi) kuwavutia wateja.

Kulingana na Joto hili la sasa la Dar Es Salaam litawashawishi wateja kununua kumiminika cha baridi k**a Juice ili kupoza joto Miili yao.

Tengeneza au designing baiskeli ya miguu mitatu au zaidi (Tazama kwenye picha hapo chini kujionea) kisha Zunguka nazo barabarani k**a Vile wafanyavyo (Azam ice cream) na pia kuzungukia Maofisini vikiwemo n.k

Kila la Kheri katika Utekelezaji kwa Vitendo,
Tujikwamue tutafika tu.

Like page yetu zaidi
Alika Ndugu jamaa
Comment wazo lako Share post
PESA IDEAS

⭐  ; Biashara ya Mananasi ya Msimu??    yanakopatikana sana,  Chalinze pwani, Ndipo mashamba yalipo na bei zake likiwash...
09/11/2021

⭐ ; Biashara ya Mananasi ya Msimu??
yanakopatikana sana,
Chalinze pwani,
Ndipo mashamba yalipo na bei zake likiwashambani ni tsh300 mpaka tsh500.
ya sokoni waweza Uza kuanzia tsh1000 to tsh 2000
Kulingana na ukubwa wake na Eneo Ulilopo la wateja.
kwa kila moja mpaka Dsm laweza gharimu tsh250

Ukilenga jiji la DSM, Zanzibar ni vyema zaidi
wake kwa kukatakata, kazima pia
Kwa Machinga wasio na biashara kwa sasa wanaweza pata
ipo k**a Utapata eneo lenye Mzunguko,Au Supermarket kupeleka Odder
; Chagua yaliyo mabichi kuepuka kuwahi kuharibika

⭐ FURSA Kwa Vijana Kuanzisha Football Academy ya Watoto, ⚽💰 (Kumuingiza Kipato bila Kumbana) Kwa Mashabiki wa Mpira hasw...
20/10/2021

⭐ FURSA Kwa Vijana Kuanzisha Football Academy ya Watoto, ⚽💰 (Kumuingiza Kipato bila Kumbana)

Kwa Mashabiki wa Mpira haswa vijana, Wenye Uelewa k**a Makocha wa Mpira na kujua Uchezwaji kufundisha kwake! Wanaweza anzisha kituo cha mafunzo ya mpira wa miguu haswa kwa watoto under 18, kwani Ulaya na Afrika Magharibi wachezaji wengi huibukia kupitia vituo hivi mfano Ronaldo, Mess..

Unaweza kuanzisha hata ukiwa Manyoni Dodoma, au Kakonko Kigoma, kinachohitajika ni kiwanja waweza Omba hata cha Shule za Misingi, Vijiji na kinafuata ni kutoa hamasa na kujitangaza kwa wazazi kuhusu umuhimu wa kukuza vipaji kwani ni Ajira kwa mifano ya Mbwana samataa Simon Msuvaa. Na Hayo ni mafunzo k**a Tuition mtoto anapotoka Shuleni.

-Watakiwa Uwe na Mipira , Coni, Bibs, Jezi filimbi n.k

-Wazazi wengi wamekuwa ni mashabiki wa mipira na wengine walitamani kuwa wachezaji hivyo wakisikia k**a kuna Tuition ya mafunzo ya mpira jioni watawaruhusu, waweza fanya mijini au Vijijini.
"K**a wazazi wanaweza kutoa Ada Katika Private Schools ni Rahisi kuwaruhusu kujiunga na Academy za Mpira kwa Ajili yaAfya na Vipaji kukuzwa"

-Utawatoza Ada kwa mafunzo ya academic kwa mwezi mfano, Ukiwa na watoto 30 Vikosi viwili na Sub yaani Wote wakalipa Elfu 10 kwa mwezi Utakuwa Unayo 300k per each month,
-Pia wachezaji watatakiwa wawe na vifaa vya michezo k**a jezi viatu, mpira vyote hivyo unaweza waambia wanunue toka kwako, na faida mara dufu.

Yakupasa kuchukua masaa 3 tu kuanzia saa 9 mpaka 12, kila jioni

-first aidkit na uwezo wa kuhudumia, Bima, Uwe na Emergency help toka hospitali eg Ambulance
"Hili ni Jambo ambalo vijana wanaweza JiPatia kipato na Huku Wakiendelea KuSubiria Mikeka Waliyobashiri kuShinda"
Like page comment Share follow
Modekai Njalalee

⭐ Jinsi   wanavyoweza Jiongezea Kipato kwa Shughuli za Kifedha 💰 SehemuyaPili Yakupasa kuipitia post iliyopita ili upate...
18/10/2021

⭐ Jinsi wanavyoweza Jiongezea Kipato kwa Shughuli za Kifedha 💰 SehemuyaPili

Yakupasa kuipitia post iliyopita ili upate Mwangaza

za Kuongeza kipato
- Mabadilishano ya za mfano Pound Euro hii itawasaidia kuweza kufanya exchange nyingine za kifedha na kupata faida, Kwani Watu wengi mtaani wanazo fedha za kigeni na huwa kuna umbali wa kuzifikia , na Muda mwingine huwa zimefungwa hivyo wakala anaweza anajihusisha na exchange hii akipata Uelewa na anatakiwa Apate Uhalali japo waweza fanya kawaida.
- kupokea ,
Hili siyo jambo geni kwetu, kwani wapo watu wamekuwa wakizunguka mitaani na kununua pesa mbovu ni Vyema mawakala nao waweza kufanya huduma hii na kuongeza wigo wa kipato, kwani hata pesa ikiwa mbovu vipi Ukienda nayo haishuki thamani.
- za na Za , ipo faida kwa Wakala akijihusisha na Uuzwaji wa Ticketi za Matamasha ya burudani na viingilio vya Uwanjani eg Michezo ya , Simba Yanga, Azam, + Wasafi festival, Fiesta Clouds n.k

- Pesa kwa , vikoba, Michezo y kinaMama ( ) kuwahifadhia pesa kwa Malipo ya Discount, kutokana na Migogoro ndani ya michezo, vikundi ni vyema Mawakala ndani ya Vijiji Miji wakajihusisha na kuwahifadhia wateja hao, na kumlipa mtu halali kuendana na mzunguko wa mchezo Au mchango, hii itawafaidiasha wote, kwa kuwa mawakala ni waaminifu na wanauwezo wa kutunza fedha bila kuzila ukilinganisha na wanakikundi wasio waaminifu.
⤴️ Kwa ufupi pointi hiyo apo juu, ni Mawakala kuwa k**a Taasisi ya kibenki kwa kuweza wateja fedha na Watakuwa ni Taasisi maalum zinazodili na kuhifadhi fedha (Deposit) na siyo kuwa Mawakalaa wa Makampuni ya simu Au benki tu. Asante
Like page comment Share follow Alika watu zaiModekai NjalaleeeeModekai Njalalee

⭐Jinsi   wanavyoweza Jiongezea Kipato kwa Shughuli za Kifedha 💰*SehemuyaKwanza Shughuli za Uwakala wa fedha zimeajiri wa...
18/10/2021

⭐Jinsi wanavyoweza Jiongezea Kipato kwa Shughuli za Kifedha 💰*SehemuyaKwanza

Shughuli za Uwakala wa fedha zimeajiri watu wengi, lakini wameishia kuwa wawakilishi wa makampuni ya benki au simu, Nivyema nao Kujishughulisha k**a benki ndogo ya kibinafsi, Kwa kuzitumia fursa zote zinazohusiana na Mihamala ya pesa na Mabadilishano k**a wahusika wakuu.
Zifuatazo;
-Kuruhusu Mihamala ya (pesa ya kimtandao) Mawakala wanaweza kukubali mabadilishano ya kupokea coin za na kuwapa wateja pesa taslimu huku makato na faida zikirudi kwao, lakini lazima ifanyike kwa njia ya physical contact (Kuonana) ili kuepusha Utapeli,
inakuja ya
-Watanzania Wengi hasa vijana wanazo fedha nyingi zikiwa katika mfumo wa pesa ya kimtandao hivyo kwa wakala yeyote akiwa na bango linaloruhusu mabadilishano kwa njia ya kuonana Ataweza Jiongezea Kipato
-Watumiaji wengi wa huwa wanateseka kuuza au kubadilisha fedha zao ziwe kwa mfumo wa kawaida au m-pesa, kutokana na kukosekana kwa uaminifu wa wabadilishanaji, Hivyo kwa Wakala kutakuwa na Uaminifu kwa Sababu wanaonana Live
-Faida ipatikanayo yote huenda kwa wakala kwani hakuna msimamizi maalum wa fedha ya kimtandao

-fedha ya kimtandao inahitaji KuiElewa vya kutosha kwanza kabla ya kuruhusu Transaction zake k**a Wakala.
-Pesa ya kimtandao huwa inapanda na kushuka thamani, hivyo k**a Utajihusisha na Uwakala tu hakikisha fedha Uliyoingiziwa unaibadisha kwa wakati, kuepuka kupanda thamani (ni faida) au kushuka thamani (ni hasara)
-Pia Kuwa Mwangalifu kuhusu Utapeli, Hakikisha mteja Unaonana naye ana kwa ana na pia Usimpe pesa taslimu kabla hajakutumia izo sahihi kulingana na thamani yake na Tanzania Shilingi
*Baadhi ya pesa za kimtandao Maarufu na sahihi ni yenye thamani ya 1Bitcon =143,349,110 Tsh
yenye thamani ya 1Ethereum = 8911, 959 Tsh (Viwango vya exchange )

wake Nchini
-Bado Fedha hii haijaAnza kutumika kihalali lakini Neema ya Sarafu hi ya Bitcoin inakuja kutokana na Hotuba Ya Mhe Rais; Samia H Suluhu aliyoisema 13Juni2021 Mwanza, *(Kuwa ni wakati muafaka kwa Benki ya Taifa BOT kujianda kwa Mapokeleo ya sarafu hiyo)*.
Baadhi ya Nchi za Amerika kusini k**a El Salvador imehalalisha matumizi yake.
Asante
linalokuja
Ni muendelezo wa Mada hiihi y fursa kwa mawakala

Like page comment Share follow Alika watu zaidi

Address

Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PESA IDEAS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to PESA IDEAS:

Share