14/08/2020
MAFUNZO JINSI YA KUZALISHA VIUNGO VYA AINA TATU PEKEE VYENYE SOKO KUBWA NA WALAJI WENGI MUDA WOTE.
K**a wewe ni mama, dada au kijana na unahangaika kutafuta biashara ya kuzalisha yenye faida kubwa na soko kubwa la nyakati zote, nisikilize kwa makini sana mpaka mwisho maana habari hii inaweza kuwa habari muhimu sana kwako na yenye manufaa makubwa kwa maisha yako yajayo.
NISIKILIZE MPAKA MWISHO KWANI NITATOA PUNGUZO KUBWA KWAKO ILI KUPATA MAFUNZO HAYA MUHIMU.
Kwa majina naitwa Bernard Siwakwi, mjasiriamali na mzalishaji wa viungo vya aina tatu CHAI, MCHUZI na PILAU vyenye mchanganyiko wa pekee unaofanya viungo hivi kuwa na thamani kubwa sokoni na kupendwa na kila mlaji na kufanya wateja wengi kushindwa kuacha kutumia viungo hivi akianza kutumia. Hali inayopelekea kuwa na wateja wengi na soko la kudumu.
Nilianza kuzalisha viungo mwaka 2018 kwa lengo la kuzalisha na kuuza reja reja na jumla tu.
Lakini watu walianza kuniomba niwafundishe jinsi ya kuzalisha k**a ninavyofanya mimi.
Kutokana na watu wengi kuniomba kwa muda mrefu niwafundishe, baadae nilitafakari na kuona nisiwe mchoyo wa maarifa haya maana kusaidia mtu mwingine afanikiwe ni hazina ya mafanikio yangu ya kesho.
Mwishoni mwa mwaka jana 2019 nilitangaza nafasi za mafunzo kwa watu 10 tu katika majukwaa yangu watakaopenda kujifunza kuzalisha viungo k**a ninavyozalisha mimi.
Wakajitokeza watu wengi sana.
Hawa wafuatao ni miongoni tu mwa wanafunzi waliojitokeza kujifunza:-
°Jackline Joseph kutoka Mbeya.
°Yusuph Sarungi kutoka Mwanza.
°Amina Makono kutoka Mheza Tanga.
Na wengine wengi walionufaika na mafunzo haya.
Naamini nawe utakuwa miongoni mwa watu wanaofuatia kufaidika na matunda ya mafunzo haya.
Sasa, leo natoa OFFA ya punguzo ya kufa mtu kwako wewe unaehitaji kujifunza kuzalisha viungo hivi vya pekee.
Natoa punguzo ambalo sijawahi kutoa mtu kujifunza kutengeneza viungo hivi.
Ada ya kawaida toka awali kwa mafunzo haya ni Tsh.300,000.
Lakini endapo utaamua kuwahi offa hii leo hutalipia Tsh.200,000 wala Tsh.150,000 bali utatakiwa kulipia Tsh.100,000 tu kujifunza kuzalisha michanginyiko ya viungo aina zote tatu yaani CHAI, MCHUZI na PILAU.
Na Offa hii itakuwepo kwa muda huu tangazo liko hewani tu, tangazo likizimwa bei ya mafunzo itarudi ile ile ya zamani hivyo hii ndio nafasi yako ya pekee kuwahi kujinyakulia offa hii ya punguzo.
°Pia utapewa bure kitabu cha mchanganuo wa biashara 14 zinazolipa Tanzania ili ukijitanua zaidi kibiashara ujue biashara gani unaweza kuwekeza mtaji wako kuongeza kipato zaidi hapo baadae.
Wasiliana nami sasa hivi WhatsApp kabla tangazo hili halijazimwa ili kuwahi bei ya punguzo iliyotolewa.
wa.me/255655009861