Didier armando

Didier armando MUNGU ni mwema

11/08/2024
Nambona tulisha acha kuwategemeya siku hizi tukikosa hatuwalahumu kbs sisi tunaliya na mungu wetu tu yani tumesha juwa m...
19/07/2024

Nambona tulisha acha kuwategemeya siku hizi tukikosa hatuwalahumu kbs sisi tunaliya na mungu wetu tu yani tumesha juwa mwisho wahuruma wenu nikusitukishwa namatatizo yetu na wala siyo kutusaidiya

Ijapokuwa wote katika familiya yako wanaweza kushindwa kuinuka Ila wewe utainuka na utakuwa nguzo na nuru ya familiya ya...
11/07/2023

Ijapokuwa wote katika familiya yako wanaweza kushindwa kuinuka Ila wewe utainuka na utakuwa nguzo na nuru ya familiya yako.

Njia 5 za Mwanaume kuwa na furaha na Mpenzi wake  1. Kuwa na mwanamke  ambaye anakuchekesha mara kwa mara. 2. Kuwa na mw...
04/07/2023

Njia 5 za Mwanaume kuwa na furaha na Mpenzi wake

1. Kuwa na mwanamke ambaye anakuchekesha mara kwa mara.

2. Kuwa na mwanamke anayekupa muda wake wakati wote unapomuitaji

3. Kuwa na mwanamke anayekuchunga ambaye mmefunga naye ndoa

4. Kuwa na mwanamke ambaye anakupenda kweli kweli

5. Kuwa na mwanamke ambaye anakutimizia mahitaji yako yote...

Mwisho , hakikisha wanawake hao watano hawajuani wao kwa wao

Follow Didier Armando

Address

Muyinga
Bujumbura

Telephone

+25762435739

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Didier armando posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Didier armando:

Share