Maneno ya kijana masikini jeuri mtulivu.

Maneno ya kijana masikini jeuri mtulivu. C'est une page de conseiller les jeunes d'aujourd'hui.

YAJUE HAYA KAKA YANGU NA WW PIA DADA YANGU.IMANI YAKO HAIWEZI KUKUFANYA UKAWA MTU BORA LAKINA TABIA ZAKO ZINAWEZA,DINI Y...
06/03/2022

YAJUE HAYA KAKA YANGU NA WW PIA DADA YANGU.

IMANI YAKO HAIWEZI KUKUFANYA UKAWA MTU BORA LAKINA TABIA ZAKO ZINAWEZA,DINI YAKO HAIWEZI KUKUFANYA UKAWA MTU SAHIHI LAKINI MATENDO YAKO YANAWEZA.

MAMBO MATATU UNASTAILI KUJUA WAKATI WAKUMTAFUTA ATAKAYEKUJAZA MAISHANI MWAKO.1.Usitazame uzuri wa mwanamke,tazama k**a w...
16/09/2021

MAMBO MATATU UNASTAILI KUJUA WAKATI WAKUMTAFUTA ATAKAYEKUJAZA MAISHANI MWAKO.

1.Usitazame uzuri wa mwanamke,tazama k**a wakati mtakuwa mko wote njiani ama sehemu fulani utafurahia,asiwe ni yule atakaekufanya upatwe na aibu.

2.Usitazame pesa kwa kuwa matajiri wanazaliwa siku kwa siku,kwa hiyo tazama usije ukapendapenda matajiri wote,tazama mtu mtakayeelewana kwamafikira,atakayekuelewa bila hata ujaongea mengi.

3.Usisikilize maneno watu wasemayo,tazama kwamba yale unayo yatamani kwa yule umpendaye k**a ameyajaza,k**atia hapo hapo kwani macho ya watu yanamatatizo yakutoona mazuri na mema pia kwa wapendanao.

Ni hayo tu,ukitaka tuendelee weka like pia gawana na wengine tupate ushauri zaidi.

07/11/2020

K**a mnavyoona jina la ukurasa huu ni kufundishana na kufahamishana

Naanzia hapa kwa neno"Bwawa"

Bwawa ni bonde kubwa lililotokea kwa nguvu za asili au kuchimbwa na binadamu ambalo huhifadhi maji kwa matumizi ya watu na viumbe wengine.

06/11/2020

Kuna Mambo mengi hatufahamu na mm pia nilikuwa sifahamu acha sasa tufahamishane,k**a neno “Bwawa”lina manaake ila sikuwa nafahamu,je kuna mtu anatamani kufahamu ama anaweza kutufahamisha na kutupa mfano?

Address

Kinama Quartier Ruyigi
Bujumbura

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maneno ya kijana masikini jeuri mtulivu. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share