02/04/2026
Moja ya makampuni makubwa duniani na Yenye brand ya kuuza bidhaa zao sana ni Kampuni ya . Leo ni kampuni ya ki Denmark ambayo inatengeneza Toys za Kujengea nyumba na miji pia, kiufupi wao wanazalisha plastic materials za Kujengea vitu mbali mbali
Sasa huwa wanakutanisha mastaa wakubwa Kwenye muziki ,ngumi na hata filamu ili kupromote kampuni Yao k**a vile wanavyo Fanya Netflix na Leo hufanya hivyo hasa anapotaka kutengeneza bidhaa mpya
Sasa katika tangazo ambalo wameliachia Leo la Promotion ya muonekano wa Logo mpya ya Fifa world Cup wamewakutanisha mastaa Wenye nguvu duniani lakini Lamini yamal hayumo sasa sijui mashabiki wa Barcelona wanavyotwambia Huyu ndio Staa kwa sasa Duniani wanakuwa wanamanisha Nini ? Mana mastaa Wenye ushawishi ni hao hapo Messi,Ronaldo ,Mbape na Vini Jr ndio wamechagukiwa kufanya tangazo hili na imagine wamelipwa kitita cha kiasi gani mapaka nashindwa kuelewa Mana mpaka Messi na Ronaldo wakubali kuchukua collabo ya tangazo Lako au wapost wao wenyewe Kwenye page zao 🙌🙌 + Mbape na Vini Jr pia oya sio poa
Kiufupi dogo huwa tunampampu sana lakini Bado brand yake haijawafikia Hawa vijana wa Real Madrid ,Madrid tunazaslisha mastaa by natural ndiomana kila mchezaji anatamani akajaribu bahati yake huenda akawa brand kubwa duniani
Naitwa shabiki wa real Madrid na Sauti ya Madrid ,olewako niwasikie tena eti Lamini ni staaa wa soko niviboko nachapa nimemaliza 📌
fyp