Waswahili avec Innos'B

Waswahili avec Innos'B Les

20/12/2024

Les amis d' INNOSS'B vous êtes toujours là ?

Uaminifu na utulivu na umaarufu aliyonao INNOSS'B ndo una mfanya hata Sasa ana Saini mikataba mingi mno.Uki juwa umri al...
28/08/2024

Uaminifu na utulivu na umaarufu aliyonao INNOSS'B ndo una mfanya hata Sasa ana Saini mikataba mingi mno.
Uki juwa umri aliyonao huyu mwamba, Hapo ndo uta juwa kwamba huyu jamaa nimbali anako kwenda na nimengi ata Fanya.

Niwatakiye tu Siku njema       INNOSS'B
26/08/2024

Niwatakiye tu Siku njema

INNOSS'B

09/06/2023
07/06/2023


Yani mdogo mdogo kuta shika vizuri

   .Sisi nima bingwa kwenye levo ya   hatu shindani na mtu. Najiamini mimi wala sina wasiwasi.Kwakweli nataka waswahili ...
07/06/2023

.
Sisi nima bingwa kwenye levo ya hatu shindani na mtu.
Najiamini mimi wala sina wasiwasi.
Kwakweli nataka waswahili tu ishike levo kuu kwenye mziki ulimwenguni.

     Mama ni mama tu. Kila tunapo jirusha sehemu mbambali hata iwe baada ya wiki ngapi, mwishowe huwa tuna rudi nyumbani...
04/06/2023



Mama ni mama tu. Kila tunapo jirusha sehemu mbambali hata iwe baada ya wiki ngapi, mwishowe huwa tuna rudi nyumbani kwa mama.
Unapo mzungumzia mama, hapo utakuwa una mzungumziya yule aliye kulea tumboni mwake kwa myezi tisa, kakuzaa kwa uchungu, tena kwa maumivu makali, kisha baadaye kaku funza namna yaku ishi na binadamu wengine.
Ndomana huwa tuna rudi nyumbani kwa mama.

   .Tuki zungumziya  mapenzi ya Rebo na Innos'b, tuta kuja ku gunduwa kwamba Innos'B haku data urembo wa Rebo. Ili Ali g...
04/06/2023

.

Tuki zungumziya mapenzi ya Rebo na Innos'b, tuta kuja ku gunduwa kwamba Innos'B haku data urembo wa Rebo. Ili Ali gunduwa kwamba Rebo ni mama mzuri na anafaa kwenye maisha yake k**a mke.
Una juwa, wanawake waku pendwa niwengi mno, ila wanawake waku owa ndo wachache mno.

Taja maoni yako kuhusiana na hali halisi ambayo Innos'b na mkewe Rebo wana yapitiya.
Nik**a mungu kawa ongoza ili wakutane.

Adresse

RDCongo
Goma

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Waswahili avec Innos'B publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à Waswahili avec Innos'B:

Partager