01/05/2026
Aigle kaka mkubwa sote tupo nyuma yako wikendi hii STADE DE FRANCE.
Umoja ni nguvu kwa kuiwakilisha Nchi yetu DR Congo kimataifa na kuendeleza Utamaduni wa Kongo.
Endelea kufanya hivyo k**a kawaida yako