Dk.samiir

Dk.samiir Hii ni ukurasa kwaajili ya kufahamu siri na maana mbalimbali zinahusiana na ndoto

24/02/2026
31/01/2026

KUMUOTA EX WAKO ,🤔

(1) Ukimuota ex wako Amekua maarufu NI ishara anakufanyia dawa mrudiane.

(2) Ukiota unagombana na ex wako au mnaongea ni ishara upendo wenu bado haujafika tamati.

(3) Ukiota umerejeana na ex wako ishara mmoja wenu anajutia kumpoteza mwenzake.

(4) Ukiota unasex na ex wako ishara anakutafuta na hajui jinsi kukupata.

(5) Ukiota unapigana na ex wako ishara anakusema vibaya Kwa watu.

(6) Ukiota ex wako yupo na mtu mwengine NI ishara karibu atakuja kuoa au kusafiri na kwenda mbali.

(7) Ukiota ex wako Anakulilia NI ishara kuachana kwenu, mlifarakanishwa.

(8) Kumuota ex wako NI mgonjwa NI ishara... Anaumia Kwa ajili yako lakini hasemi. Lakini yaweza kua ataugua mbeleni.....

Itaendelea

27/01/2026
26/01/2026
08/01/2026
18/12/2025

Address

Elmarg
Cairo

Telephone

+255755156334

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dk.samiir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dk.samiir:

Share