19/07/2023
Uongozi ni kujitoa,kujituma Kwa Ajili ya watu. Nikiwa na MH DC wa WILAYA YA KOROGWE JOKATE MWEGELO mala Baada ya mkutano mkuu wa hadhara Uliofanyika KOROGWE Mjini chini ya katibu mkuu CCM Taifa Ndg.Daniel Godfrey chongolo. Katika kutoa Elimu Kwa wananchi wa mkoa wa Tanga na watanzania Kwa Ujumla Juu ya swala la "UWEKEZAJI WA BANDALI KWA UCHUMI WETU".Hakika Tupo bega Kwa bega na Uongozi wetu chini ya RAIS DR SAMIA SULUH HASSAN. Katika kuunga jitihada Anazozifanya Kwa maslahi ya Taifa letu. Ni muda k**a watanzania kuungana Kwa pamoja na Rais Wetu katika kuwaelimisha wapotoshaji wanaozuia Uwekezaji Hapa nchini.
Edimundi
Mwenyekiti Jukwaa la wazalendo Huru MKOA TANGA
M/HALMASHAULI KUU CCM
M/UVCCM MKOA TANGA