07/12/2023
Waziri Kindiki hawa polisi wa Nambale hupewa tu mafuta ya kushika wauzaji na wanywaji wa chang'aa pekee? Hapa Nambale bodaboda wanne wameuwawa mchana na hawa polisi wameshindwa kuwakamata wahusika, kazi yao ni kushika watu wa chang'aa baada ya kusanya ushuru kwao kila mwezi.