Saint Vincenzio Muriithi Gatumu

Saint Vincenzio Muriithi Gatumu Hy ? This is a good time 2 say .....

04/04/2026
14/12/2025

“huku mkimtwika yeye fadhaa zenu zote, kwa maana yeye hujishughulisha sana kwa mambo yenu.”
— 1 Petro 5:7 🇰🇪

15/11/2024

Mhubiri 7 (Biblia Takatifu

⁴ Moyo wake mwenye hekima umo nyumbani mwa matanga, bali moyo wake mpumbavu umo nyumbani mwa furaha.
⁵ Heri kusikia laumu ya wenye hekima, Kuliko mtu kusikia wimbo wa wapumbavu;

29/07/2024

Agano la kale kwani ni laana? 👇

2 Wakorintho 3

¹³ nasi si k**a Musa alivyotia utaji juu ya uso wake, ili kwamba Waisraeli wasitazame sana mwisho wa ile iliyokuwa ikibatilika;
¹⁴ ila fikira zao zilitiwa uzito. Kwa maana hata leo hivi, wakati lisomwapo Agano la Kale, utaji uo huo wakaa; yaani, haikufunuliwa kwamba huondolewa katika Kristo;
¹⁵ ila hata leo, torati ya Musa isomwapo, utaji huikalia mioyo yao.
¹⁶ Lakini wakati wo wote watakapomgeukia Bwana, ule utaji huondolewa.
👇

“Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati, ayafanye.”
— Wagalatia 3:10 👇

“Mmetengwa na Kristo, ninyi mtakao kuhesabiwa haki kwa sheria; mmeanguka na kutoka katika hali ya neema.”
— Wagalatia 5:4 👇

“akilifahamu neno hili, ya kuwa sheria haimhusu mtu wa haki, bali waasi, na wasio wataratibu, na makafiri, na wenye dhambi, na wanajisi, na wasiomcha Mungu, na wapigao baba zao, na wapigao mama zao, na wauaji,”
— 1 Timotheo 1:9 (Biblia Takatifu)

Kwa wale wote hutoa zaka katika mapato yao na mwenye kupokea,awana haki.                                 👇              ...
03/05/2024

Kwa wale wote hutoa zaka katika mapato yao na mwenye kupokea,awana haki.
👇

1 Timotheo 1 ...

9 akilifahamu neno hili, ya kuwa sheria haimhusu mtu wa haki, bali waasi, na wasio wataratibu, na makafiri, na wenye dhambi, na wanajisi, na wasiomcha Mungu, na wapigao baba zao, na wapigao mama zao, na wauaji,
10 na wazinifu, na wafiraji, na waibao watu, na waongo, nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana na mafundisho yenye uzima;👇

"Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnalipa zaka za mnanaa na bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu ya sheria, yaani, adili, na rehema, na imani; hayo imewapasa kuyafanya, wala yale mengine msiyaache."
- Mathayo 23:23....👇

"Kwa maana wale wote walio wa matendo ya sheria, wako chini ya laana; maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu asiyedumu katika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati, ayafanye."
- Wagalatia 3:10....👇

"Mmetengwa na Kristo, ninyi mtakao kuhesabiwa haki kwa sheria; mmeanguka na kutoka katika hali ya neema."
- Wagalatia 5:4
(Amen)

29/01/2024

“Maana mimi kwa njia ya sheria naliifia sheria ili nimwishie Mungu.”
— Wagalatia 2:19 (Biblia Takatifu)

14/01/2024

Mathayo 19 (Biblia Takatifu)

²⁵ Wanafunzi waliposikia, walishangaa mno, wakisema, Ni nani basi awezaye kuokoka?
²⁶ Yesu akawakazia macho, akawaambia, Kwa wanadamu hilo haliwezekani; bali kwa Mungu yote yawezekana.

Address

Vincenziogatumu@yahoo. Com
Embu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Saint Vincenzio Muriithi Gatumu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share