16/03/2020
Singles hamjambo?wenye hamko singles sio vyema venye huwa mnatufanyia,uko na bussines na customer anakam k**a kawa anabuy chochote anataka,na katika ile halo ya kuzoeana anakam anakwabia umkopeshe hana pesa akipata atakulipa,na coz ni mtu unamjua unampatia bt anakosa kukuja na ukimtumania anashinda akisema atakulipa pesa ako nazo bt hataki kukulipa,swali langu ni tuwafanyie nini hawa dio waache kutufanyia hivo?