09/07/2023
START A BHAJIA BUSINESS WITH ONLY 1000 /=
So, yesterday after kuoga na kurudi soko niliamua kufika 'soko mjinga'. Unajua soulmate wangu anaeza kuwa akiuza 'mathukuma' huko na mimi hapa naDM watu Yues.
Anyhoo, niliingia kwa store ya cash crop ya Nyandarua and meeehn, bei ya mawaru ilishuka. My friend anapima na ile kasuku ya 500g. One goes for 25bob.
What a perfect time to start a roadside bhajia side hustle.
Tutahitaji 8 kasukus za waru.
Wacha tucheki k**a it's a profitable venture:
To make bhajia's hizi ndizo costs;
1. Food colour/ Tumeric - sh. 50
2. Wheat Flour (1kg) - sh. 100
3. Potatoes (8×25) - sh. 200
4. Makaa / firewood - sh. 100
5. Tomato sauce - sh. 100
6. Kachumbari - sh. 100
7. Cooking oil (ya kupima) - sh. 200
8. Khaki packaging bags - sh. 100
9. Kanjoo - sh. 50
Total inakuja - sh. 1000
Now, nilicount nkaona, 1 kasuku iko na 5 big big potatoes. Na kwa waru moja kubwa kunaeza toka 10 bhajias.
Where I come from, Bhajia moja huuzwa 5 bob.
Hence;
1 Kasuku itatupea 5×10×5 = 250 shillings.
Na we have 8 kasukus, kwa hivyo pesa tutapata hio day ni;
8×250 = sh.2000
Profits time,
Profit= sales(pesa tumepata) - Costs
Sh. 2000 - sh. 1000 = sh.1000 (profit)
Location muhimu, tafuta mahali kuko busy na mahali hakuna competition kubwa. Eg. Place bhajia bado hazijafika.
Halafu biashara pia hutaka creativity kiasi, kila place me huenda napatanga containers za yoghurt zimetupwa tu ovyo ovyo. Unajua unaeza osha hizo containers vizuri na utoe karatasi ya juu ubaki na mkebe fine sana ya kupack bhajia zako?
Wale wa chumvi, viberiti etc, tumia what you have at home. K**a huna pan pika na sufuria halafu uzihawk.
NB: This is just an estimate.
Kaa bado unadhani nimekazoza we endelea kudhani, wengine wetu tuzidi kusaka hii ganji.
Ideas napeana ni za kusaidia msee amekwama, hana pesa mob ya kuanzisha biashara na ako willing kujituma badala ya kucomplain.
Kuwa SMART, jijenge.