25/03/2024
To ALL M-PESA AGENTS.
Kuna hii trick moja wakora wameanzisha kuibia M-pesa shop.Anakuja anakuuliza anataka ku deposit like 50k, unaangalia float yako unaona iko 200k unasema yes!
Anakupea 50k cash u do deposit, in the process ya kumuitisha I'd number to complete transaction atakupea wrong which will make transaction fail.
He/she atakurequest umsaidie na simu yako ya kazi ajaribu kuweka mwenyewe,,ukimpea atakimbia Kwa message settings atablock incoming messages,then ataweka correct id number na kushow uweke pin.
Without your knowledge,pesa itamwendea, kwa upande wako hutaona,atakushw let's try for the last time kumbuka 50k ishamwendea pia utatuma 50k but kwa simu ya kazi huoni any message.
So huyo mkora atakushow k**a imekataa umrudishie hio 50k aende ajaribu kwengine na hivo ndio atarealize amechotwa 100k from the float,Kaa chonjo! Chanua mwenzako.