Kasarani Mwiki

Kasarani Mwiki Home business

08/06/2023

Mwiki! mwiki! mwiki!
Watu wanakufa 2 hapa kwa pombe haramu ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญtutaisha 2 hivyo

21/04/2023

Umenotice Facebook wametoa Ile sound ya kulike ๐Ÿ‘โ˜บ๏ธ๐Ÿ™Œ

30/03/2023

KASARANI AMANI AMANI

12/03/2023

Ati hapo karibu na wewe kunaendeleaje

17/06/2021

Zaburi 150:1-6
[1]Haleluya.
Msifuni Mungu katika patakatifu pake;
Msifuni katika anga la uweza wake.
[2]Msifuni kwa matendo yake makuu;
Msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
[3]Msifuni kwa mvumo wa baragumu;
Msifuni kwa kinanda na kinubi;
[4]Msifuni kwa matari na kucheza;
Msifuni kwa zeze na filimbi;
[5]Msifuni kwa matoazi yaliayo;
Msifuni kwa matoazi yavumayo sana.
[6]Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA.
Haleluya.

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kasarani Mwiki posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share