Hita charles

Hita charles hector news

18/08/2026
18/08/2026
🤣🤣
05/07/2026

🤣🤣

KABRO, WHY DO IT? 😥💔Huskii jana usiku pale Gateway Mall Syokimau a 23yrs old bro aliamua kujipeperusha kutoka rooftop. T...
24/02/2026

KABRO, WHY DO IT? 😥💔
Huskii jana usiku pale Gateway Mall Syokimau a 23yrs old bro aliamua kujipeperusha kutoka rooftop. This guy who is a second year student pale Strathmore University, inaaminika dame wake alimfanyia ile development. So kila mtu anajua hèartbreak huuma giza ikiingia, woiye our kabro kaliamua kutumia shortcut tu juu ya love triangle. Woiye kaliland kwa hio fence ya machuma iko hapo na ikimfanya wakakuwa twice symmetrically. Mapolisi walifika on time na wakacontrol situation.

The similar place inaaminika bado 2023 kuna student alijifanya the exact thing hapo, watu wakiraise maswali mob kuhusu safety ya hawa mastude. Again, whenever mpoa wako amekufanyia ile kitu, shortcut sio poa manzee.

Address

Nairobi

Telephone

+254714383129

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hita charles posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Hita charles:

Shortcuts

Share