Jukwaa La Fulusi

Jukwaa La Fulusi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jukwaa La Fulusi, Business service, NAIROBI, Nairobi.

25/09/2015

Je, ni masuala gani ya kibiashara ambayo ungependa tuyashughulikie kwenye vipindi Pochi la Fulusi na Jukwaa la Fulusi? Maoni yako ni ya muhimu sana. Asiliana nasi.

Wavuvi na wafanyabiashara katika ufuo wa Mabinju katika wadi ya Bunyala Kusini kaunti ndogo ya Bunyala wasikitikia kukat...
08/09/2015

Wavuvi na wafanyabiashara katika ufuo wa Mabinju katika wadi ya Bunyala Kusini kaunti ndogo ya Bunyala wasikitikia kukatika kwa msimu wa samaki aina ya 'Okadia'.Wavuvi hao wamelazimika kurejelea uvuvi wao wa zamani huku Biashara ikionekana kudorora kwenye ufuo huo wiki mbili tu baada ya msimu huo. Je ni hatua gani ambazo zinastahili kuchukuliwa ili kuendeleza biashara kwenye ufuo huo hata baada ya msimu huo kumalizika? Tujadiliane.
Samaki ajulikanaye k**a 'Okadia'.

22/08/2015

Habari za biashara kwa mpigo huku swala la mkataba wa sukari ikionekana kuchukua mwelekeo wa kisiasa.Mahojiano na mbunge wa budalangi ababu namwamba kwenye jukwaa la fulusi.

UHABA WA NYANYA WAKITHIRI Masoko mengi kwenye kaunti ndogo ya Bunyala yanaendelea kushuhudia uhaba wa nyanya hali ambayo...
09/08/2015

UHABA WA NYANYA WAKITHIRI

Masoko mengi kwenye kaunti ndogo ya Bunyala yanaendelea kushuhudia uhaba wa nyanya hali ambayo imepelekea wapishi kukosa raha. Mahindi nayo yamefikia shilingi 50 kwa kila mkebe wa kilo mbili kwenye soko la Mulukoba japo yanakadiriwa kupanda siku chache zijazo. Je kuna uwezekano wa bei ya mahindi na mtama kuteremka zaidi? Ikiwa jibu lako ni Ndio au La toa sababu. Mchana mwema.

07/08/2015

Jukwaa La Fulusi ni kipindi cha Bulala FM ambacho kinakupa habari za biashara kutoka kila pembe za nchi, bei za bidhaa kwenye masoko yaliyo karibu nawe, mahojiano ya biashara, mbinu za kuboresha biashara yako, msamiati na jicho la mnunuzi, ubadilishanaji wa fedha na fursa ya kuuza bidhaa zako.

Address

NAIROBI
Nairobi
CURRENCY

Telephone

0722628867

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jukwaa La Fulusi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share