Online marketing business

Online marketing business Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Online marketing business, Business service, mutuasamuel570@gmail. com, Ndhiwa.

28/03/2026

With BETTY KYALLO – I'm on a streak! I've been a top fan for 8 months in a row. 🎉

`MWACHE AENDE💔💔`💔😪 *Ukweli unaouma ni kwamba unaweza kumpenda mtu kwa moyo wako wote,* ukajitoa, ukamsamehe kila kosa, u...
06/03/2026

`MWACHE AENDE💔💔`

💔😪 *Ukweli unaouma ni kwamba unaweza kumpenda mtu kwa moyo wako wote,* ukajitoa, ukamsamehe kila kosa, ukamvumilia, lakini bado asiwe wako. Mapenzi si kila wakati hulipa.* 💔

`Kuna wakati hatuna budi tukubali tuwaache japo utaumia waende🥺💔😔`

JE UNAKUBALIANA NA HILI
❤️NDIO
🥺HAPANA
😭SIWEZI KUELEZEA.
😔NAJIFUNZA

_JIBU KWA REACTION👇_`🌹🌹FUNZO LA MAISHA KWA WANAUME🌹🌹`

Mwanaume , usiwaache watoto wako hata hali iwe ngumu kiasi gani.
Hata k**a hakuna pesa,
baki nao.

Uwepo wako una thamani kuliko chochote.
Maneno yako yanaweza kuwapa nguvu.
Upendo wako unaweza kuwaponya.

Usingoje maisha yakae poa ndipo ukumbuke majukumu yako.
Kuwa baba hata kwenye wakati mgumu.
Jitahidi kulea na kuishi nao.

`Maana mtoto hahitaji utajiri,`
`anahitaji BABA.`

> MWANAUME HAKIMBII MTOTO WAKE👊🏼[04/03, 10:05] null: 🌹💔💔💔💔💔💔💔🌹

Bila mawasiliano hakuna mahusiano, Bila heshima hakuna mapenzi

Na bila kuaminiana hakuna sababu yakuendelea🙌💔💔
[05/03, 22:13] null: `🌹🌹AMELETWA KUKUVUSHA,...ILA HAWATAKAA na wewe MUDA MREFU, USIMGANG'ANG'ANIE✍️🌹🌹`

Kila unapokuwa kwenye CHANGAMOTO ya aina fulani kwenye maisha yako...

Mungu huwa ameandaa watu wa KUKUVUSHA.

Hata pale unapokuwa uko peke yako na unadhani hakuna mtu anayekuwazia mema...

Mungu huwa anakuwa ameandaa mtu wa kukuvusha.

Wewe mwenyewe ni shahidi, kuna nyakati huko nyuma uliona kabisa...
..umefika mwisho na hakuna unachoweza kufanya.

Ghafla, kuna mtu akainuka kukusaidia aidha KIFEDHA...

Kukutia MOYO au hata kukupa FURSA.

Kitu kimoja cha kukumbuka ni kuwa...
..watu hawa HAWATAKAA na wewe MUDA MREFU.

Yaani, wakimaliza kilichowaleta WANAONDOKA.

Kubaliana na hilo na uwaruhusu, usiwang’ang’anie.

Kikubwa ni kuwa USIWASAHAU kwenye safari yako.

Je, wewe umeshawahi kukutana na mtu wa namna hii?

K**a umeipenda makala hii...

1. NIANDIKIE ulichojifunza kwenye comments kwa ufupi...

2. SHARE makala hii na mtu mmoja unayemjali...

See You At The Top
Joel Arthur Nanauka

> USISAHAU REACTIO

06/03/2026

With BETTY KYALLO – I'm on a streak! I've been a top fan for 7 months in a row. 🎉

09/01/2026

CARETAKERS URGENTLY NEEDED IN
KAREN :26K
NYARI ESTATE:28K
Runda:28K
Kileleshwa 29k
Male/Female
Call or WhatsApp 0748648294 for connection.

*Self-sacrifice is the commitment to becoming more, even when it costs you comfort, time, or ease. It's the quiet power ...
09/01/2026

*Self-sacrifice is the commitment to becoming more, even when it costs you comfort, time, or ease. It's the quiet power behind every strong habit and lasting achievement. When you give up what's easy, you make space for what’s meaningful. Sacrifice isn’t loss—it’s an intentional trade for a better future. Keep sacrificing for your vision, because greatness always demands it.*

BETTY KYALLO
13/09/2025

BETTY KYALLO

13/09/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Naman Lendra, Iravo Derrick

Nishawahi copy exam ya chemistry nikapata A nikapelekwa contest,niliangusha shule mzima hadi flag ikapandishwa nusu😄🤭
13/09/2025

Nishawahi copy exam ya chemistry nikapata A nikapelekwa contest,niliangusha shule mzima hadi flag ikapandishwa nusu😄🤭

13/08/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Agwanda Were, Vincent Matayo, Jerejere Jejere, Davis Wanyama

Address

Mutuasamuel570@gmail. Com
Ndhiwa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Online marketing business posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share