02/02/2025
After Mmepigana Romance vizuriii ,Dem anakwambia Beb Siko SAFE , Vaa Condomππ½ββ... Wewe Unaanza issues ,ati Ooh kwani Hunitrust ,ooh ama Ulilala na Mtu Mwingine , ooh Mii sipendi huo Ufalaπ.
Dem anakwambia Cheki haikua Vita so Werarua tu mali π₯...but ukifika Climax ,Make sure Umepull Outπ..
Hakuna Mwanaume hukubali kupull out my sister usindanganywe, instead anasindilia ndani nk**a Kakoto π€£.
After Game kuisha Dem anakwambia Koz Umemess nipee 200 bob za P2 ππ½ββ... Mwanaume hauna any Umesota K**a Shetani , unaanza kumwambia Tumia Zako Ntakurudishia ,and Dem hana Anyπ.
After few Months Dem anakwambia ako Pregnant π€°πΌ... Mwanaume Unaanza Zile za ...Wee ni Mwanamke waaina Gani ,so Carelss ,Hujui kujipanga ,kwani Hujui siku Zako ... Mbona huna Family planning kwa Mwiliπ... bila kujua Kuna Waschana wakitumia Family planning inakataa their Body..its eitha Wanone excess ama Anyeshe whole Month π€¬....
you as a Man unaanza kumwambia Am too Young i cant be a Father ,mara am Not Ready to Marry , Mara niko na goals nafaa kuachieve ..wakati wewe Ushaharibia mtoto wa Wenyewe Maisha ππ...sasa ungempea magonjwa je na vile USA imefunga ARVs ...chungeni Sana.
So Bro k**a Huwezi tumia CD , and you're Not Ready to be a Father ...Wachana na Ngono β
Abstain ,Huwezi kufa ,Badala ya Kuharibia Msichana wa wenyewe Maisha, Juu tuu Anakupenda ππ½ββ.. coz When a Woman Loves you β€...She can Do anything For you β
... Keep following Tripple J Chumbi Jakanyada Destiny STAR services for more updates