Eriqkiz Caxton

Eriqkiz Caxton Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Eriqkiz Caxton, Business service, Thika.

11/02/2025

27/11/2024

Hii iko economy ya Ruto Ni tight sana na weather nayo iko wet💦 alafu Kuna ww apo😅🤣🤣

31/07/2024


Mother hen Muthoni AKA Baby Top and the chick Waithaka Wa Jane
31/07/2024

Mother hen Muthoni AKA Baby Top and the chick Waithaka Wa Jane

19/10/2023


Niliwai waambia kuna siku mwalimu wa science aliniambianga akiingia kwa mlango ya class tupitanange kwa mlango k**a gari za miraa😅🤣. Tukiwa std 7 tukifunzwa sijui kuhusu body parts of an insect, bytheway hio mtu anafaa kuapply wapi kwa life🤷🏽‍♂️?

Sasa mwalimu wa math akatwambia mwalimu wa science amesema tukienda break, tushike insect moja akija lesson yake atupate nayo. Sisi ni nani, watoto watiifu 😅😊, tukaenda kwa uwanja kuzitafuta.Vile tulirudi kwa class, hapo ndo maajabu yalianza😅😅 mukuju alikuwa ameshika nyuki saba, Ka yokozuna kalikuwa kamekuja na ile locast ya jeshi, wakamido alikuwa na nzi zile za choo kumi😂😄

Mimi nilikuwa nimebahatika nikashika ile chameleon ya pembe tatu🤣🤣. Mwalimu wa science alipata wasichana wanane wakipepetewa juu ya kufaint vile nilikuwa nimewaonyesha chameleon😅😅. K**a profesa nilikuwa naeleza akina Mabogaa vile mkia yake hutumika kutibu jingaa🤣🤣🤣. Vile alisema kila mtu ashike insect yake, akaanza kuzunguka akizikagua.

Alifika kwangu akapiga nduru, "Uuuuuuwi Caxton kai ûgûrûkaga (Caxton kwani unarukanga kichwa)..ngûkore wafici(nikupate staffroom)". Si nikaenda nikasimama hapo nje ya staffroom, akakuja akaingia akaniambia niingie ndani.Wacha aelezee walimu wengine vile nimefanya😅😅. Mrs.muriuki akaniuliza, "Caxton ûkûrûmithagia ciana kimbu nîkî (Caxton ulikuwa unaumisha watoto kinyonga kwa nini)?

Nikamwambia, "mwalimu hakinanga ata meno". Huku nikimkaribia nikikipanua mdomo aone. Mrs muriuki alirukia kwa dirisha k**a ninja🤣🤣. Kugeuka nikaona akina Mrs.kinoru na Mr.waruteere wakiwa juu ya meza😅. Mwalimu wa science akaniambia,"enda utupe alafu ukuje uniambie k**a kinyonga ni insect"hapo ndo nilichapwa hadi na mwalimu wa nursery nikajua hio kitu sio insect, ni homohabilies😄😂

10/10/2023

What a Tuesday..... Ladies msidhani ju leo ni utamaduni day tumesahau ni ti***es Tuesday

18/09/2023

Kitambo pillows were meant for use during sleep lakini siku izi....mechi ndo zinasema

17/09/2023

Sisi k**a MANCHESTER UNITED hatuongei saaaaana

30/08/2023

Wearing a Jersey to church is not a sin, but why wear a Chelsea's jersey in Winner's Chapel

24/08/2023

Am tired of pretending....
Hii kokoto inakuanga kwa railway line ni ya kazi gani

Address

Thika

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eriqkiz Caxton posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share