Association of Kwale Tailors.

Association of Kwale Tailors. Jambo ? We are the Tailors Association of Kwale,aiming to bring all Tailors on board so that we can Bidii ni msingi wa maendeleo

22/12/2020

Nawasihi mafundi wa nguo muamke jameni

04/08/2020

Naomba kwa unyenyekevu...ikiwa wewe ni fundi wa nguo,Wasomea sasa ushonaji au wahitaji kujifunza ushonaji nguo.Jiunge kwenye kundi letu tuelekezana tafadhali.
Ukiwa na fundi wamjua,tafadhali tuletee hapa tujiunge nae...bora tu,awe ni mkwale.Shukran

04/08/2020

Fashions and Designs markettersare needed...Field marketing and Social media marketing on a daily commission basis.

03/08/2020

JUA KALI IMEOZA KWALE

23/07/2020

The Voice Of Mercy 91.5 - Sauti Ya Huruma Ni Yetu !

04/01/2019

TUMEKATAA KUGATULIWA...TUSUBIRI KUGATUZWA !!!

13/08/2016

Kauli mbiu :- uchumi mashinani

17/06/2016

Nafahamu wengi wetu hatuna ujuzi wa kushona nguo...isipokuwa naelewa tumepakana na mafundi na baadhi yetu hao mafundi in jamaa zetu wa karibu.

Nawaomba wale tulipata ujumbe huu tujitokeze na hari ili tuenuwe baadhi ya mafundi kiuchumi.

08/06/2016

Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu...upendo ni raha chuki ni udhia na Amani ni usalama vurugu ni vita.

TUWE NA UMOJA,UPENDO NA AMANI.

29/12/2014

Ni muda muafaka wa kutoa mchango wa mawazo na mda wetu juu ya ukuzaji wa vipawa vya ufundi wa nguo.

Address

Ukunda

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Association of Kwale Tailors. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share